Msipotoke, Kazi BOT Hizi hapa.

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,289
781
Kama una mdogo wako, mjomba, ndugu, Rafiki, Jirani au mtu yeyote unamfahamu anavyo vigezo; mfowadie hii, mwambie asiogope wala kujidanganya kuwa "nafasi zina wenyewe" APPLY!


1. DATABASE APPLICATION RISK OFFICER - 2 POSTS (Head Office- System Risks Department)
2. SENIOR IT SECURITY ADMINISTRATOR - 1 POST (Head Office- Information Systems Services Department)
3. FINANCIAL ANALYST (QUANTITATIVE RISK) - 4 POSTS (Head Office - Foreign Markets Department)
4. TECHNICIAN ENGINEER – 1 POST (MBEYA)
5. PLUMBER - 1 POST (Mbeya)
6. SENIOR PROGRAMME COORDINATOR (LEARNING & DEVELOPMENT) - 1
POST (Training Institute-MWANZA)
7. IT TECHNICIAN – 2 POSTS (ZANZIBAR)


CLOSING DATE:
Applications should reach the Deputy Governor’s Office on or before 4:30 pm on 29
th
January, 2011

Tangazo lenyewe hili hapa:
http://www.bot-tz.org/Adverts/JobAdverts/7 Jan 2011-Employment Opportunities.pdf
 
haya matangazo huwa ni kutimiza formality, watakuwa wana watu wao siku nyingi, this is reality
 
haya matangazo huwa ni kutimiza formality, watakuwa wana watu wao siku nyingi, this is reality

Hapana kaka/dada bado nafasi ya mnyonge ipo. Baada ya lile sakata la "watoto wa vigogo" kuleta mushikeli BOT walijirekebisha. Mf. mwaka juzi kuna kina-kayumba wawili nawafahamu waliajiriwa pale. Ila nilichosikia kuwa kinafanika ni kwamba kuna tabia ya kuvujisha maswali ya interview kwa watu wao sema kinachosaidia wengi ni viraza na maswali hayo huwatoa nishai. Kwa sasa nasikia wakubwa wamehamia Wizara ya Mambo ya Nje.

Kwa walio katika utafutaji wa ajira msikate tamaa ombeni mtabanana hukohuko.
 
USIPOTOSHE WATU!
Narudia tena, kama una vigezo: tuma application

Hizo nafasi ni uzushi mtupu na zimetangazwa kiujanjaujanja, nimefuatilia magazeti yote na hata kwenye webisite yao sijaona sehemu waliyoweka qualifications za mwombaji ziweje. i.e. bachelor, diploma, experience, age limit etc..... vinginevyo uniambie watu wa HR hapo BOT ni vilaza kwa kutuma Job advert ambayo ni incomplete.
 
Hizo nafasi ni uzushi mtupu na zimetangazwa kiujanjaujanja, nimefuatilia magazeti yote na hata kwenye webisite yao sijaona sehemu waliyoweka qualifications za mwombaji ziweje. i.e. bachelor, diploma, experience, age limit etc..... vinginevyo uniambie watu wa HR hapo BOT ni vilaza kwa kutuma Job incomplete.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni...Kuna ujanja ujanja mwingi kwenye hizi kazi lakini qualifications zipo.
 
Vijana wa kitanzania siwashangai!!!! mwanzo ilikuwa kwenye uchaguzi, mtu hapigi kura anabaki kulaumu!!!!!! UNATAKA UPEWE MPAKA MAJINA YA VIJANA WALIOINGIA BOT BILA "MISHENI"? ukiona mtu anaogopa kazi ujue hana vigezo, yaani CV yake fupi!!!! Oooh HAWAJAWEKA qualification, mwingine anaomba source wakati nimeweka link kabisa, mwingine anasema hizo kazi hazijatangazwa sjui anataka tangazo gani zaidi ya hilo. Anyway, mimi nilikuwa nashea na ndugu zangu tu, sina lengo baya! Wadogo zangu wawili, mmoja wa kike na mmoja wa kiume wameshatuma maombi; mwingine anaondoka kesho kijijini kufuatilia suala hilo, nitawapa mrejesho.
POLENI!
 
tatizo la watu wengi washakata tamaa, ndo maana hawapati kazi za maana, coz kuna vijisauti ndani ya roho zao vya kukatisha tamaa. hilo ni pepo kemea kumbuka huwe. kumbuka huwezi kupata kazi bila kuomba. ...n u loose nothing by trying.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom