Msinunue maya pale supermarket shell ya engen mikochen

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Kwenu wapendwa
hili limenikuta hivi karibun si haba kuwajulisha..nilifika pale engen mikochen nikauliza jamani kuna mayai ya kienyeji wakasema yapo..nikaenda nikanunua trei mbili nilipofika nyumban siku inayofwata mchana dada wa kazi akataka kutumia nikamwambia tumien tu maana nilitenga trei moja kwa ajili ya mtoto walipokaanga wakati wanayapasua kukawa kama yamearibika walipoweka jikon hakika ni kituko...wakavunja la pili la tatu nikiwa mkristo yakavunjwa 10 mabovu..nikawambia kanunue dukan..nikaakaa kama siku 5 kusema nipite niyarudishe nikayapitisha nikakuta dada mmoja aakadai kama unayo yalete alipona nayaleta akadai pol e lakin huwa wakichukua vitu hapa airudishwi..nikaasema eeh.....niliropoka sana kama wanakumbuka na wako humu..nikomba kumwona meneja ajaja....akika siku naypeleka ndug n aibu kubwa yananuka kama visa..ukiyaona ni meupe yako ukiingia mkono wa kulia....

Ndugu zangu sie tusiokula mayai akuna shida sasa watoto wetu si watatuulia...nikiwa natoka nikaitwa na dada mmoja wa mafuta akaniambia yale si ya kuku ni ya khanga..niliumia sana waakati nimeuliza jaman ya kienyeji

hii si mara ya kwanza hapo muwe makini tunaponunua vitu vya supermarket..kuna siku nilipita 2 months ago nikakuta mtu analalamikia vinywaji vimeisha muda wake bado vipo...nilishangaa ila nikasema labda hawa nilipofika imalaseko nikanunua mikate nilipofika hme nikakuta imeisha muda wake siku 6 zalizopita..niliogopa kuingia supermarket kwa muda kwa kweli

tuwe makini tunaponunua vitu hawa wafanyabiashar wanapotuona wachina wanatuletea uchafu wanaamua kutupa na sie uchafu..hatari sana
 
Siku nyingie ukinunua kitu supermarket angalia tarehe ya kwisha kwa matumizi au tarehe ya mwisho wa matumizi wa hiyo bidhaa, (expiry date, used before) kabla ya kupeleka nyumbani.

Vile vile angalia kama wanayo policy ya kurejesha vitu ambavyo ukuridhika navyo, au vyenye ubora hafifu.
 
Ni kweli mkuuila kwenye mayai akukuwa na exp date
 
Nilisha acha utaratibu wa kununua vyakula supermarkets, kukuta vumeharibika ni kitu cha kawaida sana
 
Kila asubuhi, nina kawaida ya kununua soda ya kopo (sprite) kwenye supermarket moja huku masaki (sitaitaja jina kwa leo), wiki iliyopita nimenunua kama kawaida yangu, nimefika ofisini, baada ya muda nikataka kuinywa! Loh! Nilipatwa na mshtiko nilipoifungua haikutoa gesi! Yaani ilikuwa flat! Bahati nzuri ofisi iko jirani na hiyo supermarket, nikaamua kuirudisha, niilkuwa sijaitupa receipt, (maana waliniuliza kama ninayo), walinirudishia hela yangu! Tangu siku hiyo, mimi na soda za kopo za supermarket, tofauti kabisa!!
 
Back
Top Bottom