BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,160
Eti eh? Ndo mana nakuzimia,sogea basi karibu nikuchum.
Kwani ulikuwa hujui? Njoo basi bamboo lunch.
Erickb52 habari yako iya ndani bana
Please please pulizi usitoe siri yangu ya juzi kuwa nililizwa na yule dada poa
Ukiitoa tuu nakufungulia kesi ya defamation na wakili wangu atakuwa Ruttashobolwa akisaidiwa na Kaizer na Mentor
Chezeiya maujanja yangu wewe
Kiuno kinazunguka kama pangaboi
Umekipaka mafuta lakini kinaweza kikatoa kutu
Chezeiya maujanja yangu wewe
Kiuno kinazunguka kama pangaboi
Mmmh, hujui raha ya kutu ya kitanda weewe ???
Ukelele wake kutoka Dar hadi Kanyigo
Bamwelezee