Msinichoke tafwaaadhali..!

Mwendabure

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,138
1,040
Habari wakuu! Naomba msaada wa keys za avast antvirus tafadhali. Kwani hali imekuwa ngumu kwangu. Natanguliza shukrani kwenu wakuu huku nikisubiri msaada toka kwenu.
 
we unaomba key? c hiyo ant virus inauzwa jaman au? kama za kununua zinakushinda nenda google andika hivi download free avast antvirus zitakuja pale aina tofaut tofaut utadownload utainstall free bila hata kuulizwa key hiz ant virus za kupeana toka maoficn c nzuri aliyekupa hyo cd au hyo setup ilibid akupe vyote
 
Habari wakuu! Naomba msaada wa keys za avast antvirus tafadhali. Kwani hali imekuwa ngumu kwangu. Natanguliza shukrani kwenu wakuu huku nikisubiri msaada toka kwenu.
Mkuu, nenda kajiandikishe kwenye websiter ya avast, key avast free edition utazipata kwenye ie-mail yako baada ya kujiandikisha. Mkuu naomba utumie kiswahili fasahaha tafadhali "twafwaaadhali" ndio lugha gani hiyo? siku nyingine ukija kwa mtindo huu nakuambia hakuna mtu atakaye jisumbua kusoma post yako.
 
we unaomba key? c hiyo ant virus inauzwa jaman au? kama za kununua zinakushinda nenda google andika hivi download free avast antvirus zitakuja pale aina tofaut tofaut utadownload utainstall free bila hata kuulizwa key hiz ant virus za kupeana toka maoficn c nzuri aliyekupa hyo cd au hyo setup ilibid akupe vyote
hata hiyo ya free inahitaji key zake mkuu, kama nilivyo mjuza hapo juu.
 
Avast wana free Antivirus nzuri sana tena ni ya mwaka huu Avast 6.0, ukishainstall connect internet click register free copy, unapata license ya mwaka mzima
 
Mkuu kwa bahati mbaya natumia simu hapa hivyo siwezi weka link kamili ila nenda www.serials.ws
hiyo ni search engine kwa ajili ya keys za software yoyote utakayokuwa unatafuta.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom