Msimu wa kudanganganyana umeingia

houseboy

Member
Jul 22, 2007
39
3
Miaka minne iliyopita viongozi wetu wabunge,pamoja na Raisi walitupa mambo kibao ambayo watafanya,je unakumbumbuka mheshimiwa Raisi alituhaidi nini?vipi mbunge wako alisema atafanya nini jimboni kwake?,je kafanya alichosema atakifanya?.kama watatuhahidi mambo mengine mapya vipi tuwaulize kuhusu mambo ya zamani?,kuna mtu anayo ilani ya uchaguzi ya miaka minne iliyopita ya CCM,au vyama vyama vya upinzani ambapo vilipata wabunge waliahidi nini?au kama kawaida yetu kuwa na jazba,maneno mengi,hakuna kinachofatiliwa kuhakikisha mambo yailyosemwa yanafatwa.
 
Back
Top Bottom