Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,602
- 5,569
Mkuu ukishayaona haya basi huhitajii kuona mengine.. twapaswa kujipanga. Kukusanya fikra na maarifa tofauti ili tujikwamue kwenye utumwa huu. tuna utumwa wa kifikra bado na tunawaamini wasioaminika. Twapaswa tuwatathmini kwanza wanaotufaa kuongoza jahazi letu kabla hatujaamua kuvuka ili wasiwe kama maharamia wakatuzamisha kabla...
mkuu hii imekaa fresh.
JK anapendwa na hao wafadhili kwa sababu wanafaidi rasilimali zetu. Wao wanaanglia faida kwa nchi zao. Hayo mengi ni geresha tu. Kwenye uchaguzi mbona hawajapika kelele kama wanavyofanya Ivory coast? France ina lake hapo Ivory.