Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,465
- 92,855
soure : www.bbc.co.uk/kiswahili
Wasema hawakukosea, Chadema ndo walikaidi amri halali ya serikali iliyoko madarakani
source BBC jioni hii
Source?
Mi naona iwe unatoa taarifa polisi juu ya maandamano kama intelligencia yao inawaambia tusiandamane basi ni kuwaambia kuwa tutajilinda wenyewe
Hivi jamani MLITEGEMEA WAMESEMEJE???Wasema hawakukosea, Chadema ndo walikaidi amri halali ya serikali iliyoko madarakani
source BBC jioni hii
Source?
Ndugu yangu...at standard, temperature and pressure (STP),,,, jeshi la polisi halitaweza kusema wao ndio waliovunja sheria kwa kutumia mabavu kwenye mkusanyiko wa amani.... wameshaaibika jana 12/01/2011 na wanabaki wakilumbana na serikali yao... aibu imeshawakuta sasa wanajaribu kujisafisha ...kwani wafadhili wameshawakoromea
Si kwamba hakusoma.. hakuelewa neno BBC ni kidudu gani!! yeye mngelimwambia ni TBC ya uingerezahapo chini ya habari kuna nini? acha uvivu wa kusoma