Msikiti unaonuka harufu mbaya na siasa kali.

Status
Not open for further replies.
kama muumini nadhani hoja ya usafi wa msikiti na maeneo yanaozunguka iwe juu yetu, hapa hoja si srikali, mana uchafu ni makruuh, na ni vyema tukazingatia maoni na maagizo ya kiongozi mkuu wa dini ya kiislam aliyesema, " AL ISLAAM NADHIIF FATANADHAFUU FAINNAHU LAA YADKHULU LJANNA ILLA NADHIIF

Kweli kabisa ustaadh. Takbiru allah walibalu!
 
kuhusu usafi kwa taarifa yako msikiti ni msafi kuliko kanisa kama ufahamu
kama akili zako kama wembe basi uwe una fikiri kama mtu mzima
[/size]

. ai see...sasa limi umesikia maaskofu au waumini wao wakitoa rai hapa jamvini kuhusu uchafu.....

..mwenzako mstaarab hapo juu kasema wazi kuwa usafi ni jukumu la kwanza la muislamu..sasa iweje wewe uendelee kuunga mkono kutofanya usafi tu kwa ajili unalipa kodi.....sasa kama unalipa kodi unafikiri kipindu pindu kitakuacha.....

you cant be serious!!
 
Haishangazi hata kidogo kwa baadhi ya waumini wa imani fulani, kupinga kila jema, au wazo linalo tolewa na upande wa imani nyingine hata kama jambo hilo linahusu jamii nzima ya Wabongo.

Kuna mafundisho mengine watu wanayo yapokea husababisha watu kuwa mufirisi wa kimawazo, na kuwaona watawala kuwa kama miungu watu. Yaani hawatakiwi kuojiwa hata pale wapodhurumu haki za raiya.

Nakumbuka hata katika historia ya Tanganyika, kabla ya uhuru, ni watu wa upande wa imani moja tu ndio walio kuwa wanaonekana mstari wa mbele katika swala zima la kumuondoa mkoroni. Kuanzia Mjerumani mpaka alipokuja muingereza. Lakini wahusika wenye kutunza historia ya Tanganyika ndio hao hao wasiotaka kuondoa matatizo ya watu na hususani hizi taasisi chache za serikali ambazo zinaona kwa kuwa tatizo la uchafu linawakera waislamu wanaosali msikiti wa Mtambani, basi wanapaswa kuadhibiwa nalo.

Huo uchafu unao ongelewa hapo, unaleta/utaleta madhara si kwa waumini hao tu, ila kwa kila raiya anaye ishi karibu na eneo hilo.

Baadhi ya watu wamewaita kwa majina mabaya Waumini wa msikiti huo, eti tu wameitaka serikali iwaondolee tatizo hilo.

Je vipi wale Wasabato wanaotaka kwenda ulaya bila kupitia taratibu husika? Mbona hawaonekani kama wanafanya vitu kinyume na taratibu za sheria za uhamiaji? Na wala hawaonekani kuwa ni wapuuzi na wajinga wenye kupenda na kusisitiza kusafirishwa dezo kwenda ulaya? Zaidi ya hayo tunaona baadhi ya watu wengi wanawaunga mkono kwa kisingizio cha uhuru wa imani. Na wakati huo huo wanapinga kwa juhudi zote uhuru wa waislamu kuiomba serikali iwajibike kwa kile ambacho kipo ndani ya uwezo wa serikali. Na kuwaona omba omba.

Hizo taka na hilo soko likisafishika ni kwa faida ya waumi wa dini zote na hata wale wasio kuwa waumini wa dini hizi mbili zenye kugombea wafuasi kila kukicha.

TUAMKE Wabongo, huu ni wakati wa kuionyesha serikali kuwa sasa wananchi walipa kodi wanajuwa haki zao. Na serikali inapaswa kuwajibika.
 
Suala la kuchallenge deen? ili iweje? deen ya kweli ni utaratibu walioupokea walioamini kutoka kwa Mola wao,ili kuzifaidisha roho zao... sasa uichallenge halaf ndio iwe nini?

Unadhani deen ni siasa?

Utapoteza muda wako kubishana na mimi.

Hakuna dini ya kweli, tena afadhali hio siasa.
 
Lakini wahusika wenye kutunza historia ya Tanganyika ndio hao hao wasiotaka kuondoa matatizo ya watu na hususani hizi taasisi chache za serikali ambazo zinaona kwa kuwa tatizo la uchafu linawakera waislamu wanaosali msikiti wa Mtambani, basi wanapaswa kuadhibiwa nalo

Kwani wanaoongoza Manispaa ya Kinondoni ni wamisheni? Au hata Jiji? Angalia kabla ya kutupa mawe!

Ndio yale yale ya Bakwata. Hamuelewani wenyewe kwa wenyewe lakini mnamtupia lawama mmisheni. Usikute kuna wapuuzi wanaogopa kuvalia njuga hii ishu kwa kuogopa kumkwaza mwenzao!

Jiungeni na wakazi wa eneo hilo, bila kujali dini zao na mlivalie njuga swala hili. Mwambieni diwani wenu kuwa kurudi kwake kutategemea atashughulikia vipi ishu hii. Muelezeni hivyo hivyo mbunge wenu. Wakati huu, msichoke kufanya harambee ya pamoja, kukabili hali hiyo!

Amandla.......
 
Utapoteza muda wako kubishana na mimi.

Hakuna dini ya kweli, tena afadhali hio siasa.

Nia haswa si kubishana na mtu..nia ni kutoa ilmu kwa mwenye kuhitaji ku-contrast mawazo mapya..

Kama una jipya lilete tulijadili, la kusema hakuna deen ya kweli to me is a mere void claim..

Wasalaam
 
Nia haswa si kubishana na mtu..nia ni kutoa ilmu kwa mwenye kuhitaji ku-contrast mawazo mapya..

Kama una jipya lilete tulijadili, la kusema hakuna deen ya kweli to me is a mere void claim..

Wasalaam

You make me go to my previous post but there is no problem
see here

Afadhali huyo Darwin anatoa nafasi ya watu kumchalenge vile wanavyoamini.
Je ni dini gani inayotoa nafasi hio?

Your post

Suala la kuchallenge deen? ili iweje? deen ya kweli ni utaratibu walioupokea walioamini kutoka kwa Mola wao,ili kuzifaidisha roho zao... sasa uichallenge halaf ndio iwe nini?

Unadhani deen ni siasa?

That is not an answer on my question.

Kwa kuwa umependa kuweka generalization, nakujibu kama ifuatavyo:

Binafsi naipenda crusade ikiwa ni dhidi wa watu wagomvi, wavivu, wazembe, waoneao wenzao vijicho na walalamishi.

hakika mtu mwenye sifa nilizozitaja wasitegemee kwenda peponi, wanadanganyana tu na kupeana morali za kijinga..

By the way, do you have any, if only the slightest, idea in what language Moshe/Moses/Musa engraved the ten commandments in those tablets?
 
You make me go to my previous post but there is no problem
see here

Your post

That is not an answer on my question.

By the way, do you have any, if only the slightest, idea in what language Moshe/Moses/Musa engraved the ten commandments in those tablets?

Weka hoja zako kama 1 entity ilil tuweze kwenda pamoja, kwa kukusaidia fungua thread mpya uweke kile unachodhani ni 'ilmu'

Wakatabahu
 
Suala la kuchallenge deen? ili iweje? deen ya kweli ni utaratibu walioupokea walioamini kutoka kwa Mola wao,ili kuzifaidisha roho zao... sasa uichallenge halaf ndio iwe nini?

Unadhani deen ni siasa?

Hapa bado jibu hukunipa bali kutetea kile unachotaka wewe.

Kwa kuwa umependa kuweka generalization, nakujibu kama ifuatavyo:

Binafsi naipenda crusade ikiwa ni dhidi wa watu wagomvi, wavivu, wazembe, waoneao wenzao vijicho na walalamishi.

hakika mtu mwenye sifa nilizozitaja wasitegemee kwenda peponi, wanadanganyana tu na kupeana morali za kijinga.
.

Hizo sifa ulizozisema si baadhi zimetoka kwenye amri kumi za Mungu?
Ndio maana nikakuuliza

By the way, do you have any, if only the slightest, idea in what language Moshe/Moses/Musa engraved the ten commandments in those tablets?

Sifungui thread yoyote nataka unijibu maswali yangu ndio tuendelee
 
Kukumbusha tu post yangu ya kwanza kwenye thread nakuendelea, pengine utapata kunifuata ninachohoji kwako.

Darwin kama jina langu:

Swali nikujiuliza hapo

Nani wa kwanza? Msikiti au soko?

Kama msikiti ndio wa kwanza kujengwa kabla ya soko basi manispaa inahusika kuweka soko ambalo ninatoa uvumba kwahio watoe suluhisho.

Kama soko ndio la kwanza ukaja msikiti basi Msikiti waliyataka wenyewe kwani waliyajua hayo mazingira toka zamani.

Mwisho kama yaliwekwa yote kwa pamoja, manispaa kwa wakati huo waliweka uwiano gani?

Naona wengine hapa wanajibu tu kushabikia dini zao bila kufikiria cha kusema.

Darwin,Mtanzania ambaye anayejivunia kwamba hafuati dini za wakoloni.
 
TUAMKE Wabongo, huu ni wakati wa kuionyesha serikali kuwa sasa wananchi walipa kodi wanajuwa haki zao. Na serikali inapaswa kuwajibika.[/SIZE]

Serikali gani? Serikali ya mitaa ndiyo yenye jukumu la usafi mitaani. Kama wanaweza kuajiri watu kufagia barabara kwa fagio, kwa nini washindwe kusafisha mazingira ya msikiti? Inawezekana kabisa pia Uongozi wa soko ndiyo wenye responsibility ya usafi wa soko. Siyo kila mapungufu kulaumu serikali.
 
Afadhali huyo Darwin anatoa nafasi ya watu kumchalenge vile wanavyoamini.
Je ni dini gani inayotoa nafasi hio?
Ndio maana nasema Darwin ni hero wangu

Dini nikuamini kwamba kuna kitu unakiamini na mwisho wake hicho unachoamini ni Mungu [hata mti] , je mimi ambaye siamini kwamba Mungu hayupo utaniambia nafuata dini gani?

Wewe unamfuwata Charles Darwin, dini yako ni Darwinism. Darwin ni mwonga aliyekimbia kusomea udaktari wa upasuwaji na kwenda kujitia kutafiti vitu na maumbile yake. Aliposhindwa kupata jibu akaja na Nadharia kwa maana ni vitu vya kufikirika yaani si vya kweli.

Nilipokisoma kitabu "the Origin of Species" nikamkuta Darwin akiwa hana hakika juu ya kile anachokieleza; kwa mfano sura mojawapo aliyoiita "matatizo ya nadharia" inaonesha shaka kubwa aliyokuwa nayo. Nikiwa mtu mwenye kupenda kutafiti kweli na mwenye elimu japo ndogo ya fizikia nayadadisi sana maoni yake juu ya namna gani JICHO lingeweza kijiumba.

Lakini wasomi wenye kushadidia elimu hii ya Darwin wenyewe wanakiri kigingi hiki kinavyowakwaza Wanasayanasi.

Naogopa kutoka nje ya mada ila kama utafungua thread maalum kwa kutaka kumtetea mtume wa imani yako ya darwinism, natumaini wapo watakaopenda kujadiliana na wewe, mimi nikiwa mmoja wapo.

Karibu tujadiliane kwa amani na upendo.
 
Serikali gani? Serikali ya mitaa ndiyo yenye jukumu la usafi mitaani. Kama wanaweza kuajiri watu kufagia barabara kwa fagio, kwa nini washindwe kusafisha mazingira ya msikiti? Inawezekana kabisa pia Uongozi wa soko ndiyo wenye responsibility ya usafi wa soko. Siyo kila mapungufu kulaumu serikali.

You back? You better be on your PS and Qs or else........
 
Wewe unamfuwata Charles Darwin, dini yako ni Darwinism. Darwin ni mwonga aliyekimbia kusomea udaktari wa upasuwaji na kwenda kujitia kutafiti vitu na maumbile yake. Aliposhindwa kupata jibu akaja na Nadharia kwa maana ni vitu vya kufikirika yaani si vya kweli.

Nilipokisoma kitabu "the Origin of Species" nikamkuta Darwin akiwa hana hakika juu ya kile anachokieleza; kwa mfano sura mojawapo aliyoiita "matatizo ya nadharia" inaonesha shaka kubwa aliyokuwa nayo. Nikiwa mtu mwenye kupenda kutafiti kweli na mwenye elimu japo ndogo ya fizikia nayadadisi sana maoni yake juu ya namna gani JICHO lingeweza kijiumba.

Lakini wasomi wenye kushadidia elimu hii ya Darwin wenyewe wanakiri kigingi hiki kinavyowakwaza Wanasayanasi.

Naogopa kutoka nje ya mada ila kama utafungua thread maalum kwa kutaka kumtetea mtume wa imani yako ya darwinism, natumaini wapo watakaopenda kujadiliana na wewe, mimi nikiwa mmoja wapo.

Karibu tujadiliane kwa amani na upendo.

Darwin as my hero sio kwamba nafuata dini ya Darwin, Kwanza sina dini
Nilitoa pia sababu kwanini ni hero, anatoa nafasi ya watu kumchallenge kitu ambacho katika dini zote hata mambo yaliyoandikwa ni pumba huwezi ukauliza kwanini iwe hivi.
 
..

.....naomba nitoe changamoto..je tunawalea watoto wetu kuamini kuwa hata usafi ni jukumu la kwanza la serikali???..miimi nimefundishwa ..usafi ni jukumu la MTU BINAFSI[mwili wako],FAMILIA [nyumba yenu],MTAA[Mtaa wenu],JUMUIA [kanisa lenu,msikiti wenu,shule yenu]..ets ..serikali ni ya mwisho kwenye mlolongo[PROVIDES INFTRASTRUCTURES]

Venlan%20kuvat%20263.JPG
 
Nilipokisoma kitabu "the Origin of Species" nikamkuta Darwin akiwa hana hakika juu ya kile anachokieleza; kwa mfano sura mojawapo aliyoiita "matatizo ya nadharia" inaonesha shaka kubwa aliyokuwa nayo.
no, because it is just an assumption, nothing more, that might be right or wrong.

You can as well investigate the unknown. That is what science is all about: investigate the unknown. Which aims, since Popper, at eliminating the approved false theories, rhather than prove so-called truths which are only waiting to be falsified.
 
Kuna wengi wetu tumeliingiza suala hili la uchafuzi wa mzingira na imani za kidini.Kwamba Waislamu wa msikiti wa Mtambani ni wajinga kwa sababu wanaitaka Manispaa kutimiza wajibu wake wa kufanya usafi ni uchokozi usiokuwa na hoja ya msingi.

Wengine kujiita Darwin n.k kunaonesha kuwa hisia zao ni anti religion na kwa kuwa Waislamu wanakereka na harufu mbaya ni kwa sababu ya Uislamu wao.Wangekuwa na hisia za ki-darwin wangetulia wakavumilia harufu mbaya hata kama wanalipa kodi ili huduma ya usafi ifanyike.

Huyu wa Darwin anaungana na wale waliojichanganya na mada na kuanza kutaja OIC n.k ambao ni anti Islam na wana chuki binafsi ambazo wameona wasitoe hapa.

So to conclude ni kuwa hisia za baadhi ya wachangiaji wa dini tofauti na Uislamu na zile za wasioamini kuwapo kwa Mungu kama Darwin zinajitokeza si katika kukemea Manispaa na kuifanya itimize wajibu wake ila wamejikita na kuushambulia Uislamu.

Kwa wale wa dini tofauti wamelipandia suala hili ili wafanye crusade na Darwin naye kapata fursa ya kumshambulia Mwenyezi Mungu kwa kuwa haamini kuwepo kwake.

Sasa suala kubwa hapa ni uchafuzi wa mazingira ambao ni sawa kabisa na kuweka dampo la uchafu katikati ya jiji na harufu mbaya ikazagaa sehemu muhimu za huduma kama vile hoteli na maduka.

Hapa hakutakuwapo na Darwin,John au Ally.Wote tutahusika na kuikemea Manispaa kwa kutotimiza wajibu wake.

Na inatakiwa iwe hivyo hivyo katika eneo lote la Mtambani kwa sababu hapo ni mahali ambapo kuna kila aina ya watu.Msikiti ni eneo tu ambalo kero hii imejitokeza lakini ni sehemu kubwa ya jamii inayoishi maeneo hayo inajikuta na matataizo kama yale yanayoonekana msikitini.

Instead of condemning Muslims etc etc...let all the residents of the area come out and shout,"Fanyeni kazi yenu kama serikali kwa kuwa tunalipa kodi"

Kitu ninachoona hapa ni wewe unayenifuata.

Unakumbuka post yangu ya kwanza?

Niliwasema waislam au wakiristo hapa?

Kitu ambacho ninyi watu wa dini kikisemwa na yoyote tu kuhusu mambo yanayoihusisha jamii na dini basi watu wa dinimnaonewa.

Nikukumbushe mwanzo kabisa post yangu

Back
Top Bottom