Msikilizine Risasi Maulanga anaongea live Star TV

Amefanya nini tangible hapa Tanzania? Mijadala kwenye media haina mashiko, everyone can do that!
 
Jamani mbona mnasumbuka? Huyu kijana amekua akiona baba yake akiishi maisha hayo (kudandia gravy train), mnatarajia yeye afanyeje jamani? Mnamlaumu bure... Kuna watu ambao hata wakizungumza ***** unaweza kushangaa lakini sio aina za kina Risasi
 
aka ka jamaa ka pale kino-sekenke hakajuagi kitu, kanaishia ubishi tu, akanaga mantiki yoyote, ni muuza maneno huyu, bado anajifunza kuuza maneno. wewe muulize simba na yanga sio siasa
 
Risasi ni kizazi kipya cha Kibonde.
Hapo umenena mkuu! mi nashangaa hivi Star Tv na heshima yake yote iliyojizolea inamualika huyo jamaa. Alitakiwa aende kwenye ile radio yao ambayo wanaume wote wanaojilegeza legeza wakiahidiwa pesa na mafisadi huenda.
 
Usifiche sema wazi redio clouds ya fisadi manji wabana pua wote wako hapo.
 
Watanzania tunamtakia kila la heri katika harakati zake...za ukada..... Vijana tunasonga mbele
 
anajipendekeza Hans jipya tunamfahamu vzr ninii risasi watu tumeona gobore aache sifa za kijinga.
 
STAR TV wawe waangalifu kualika watu kama hawa " huyu mwaulanga siku nyingine anajifanya mdau wa michezo" SHITT!
 
Back
Top Bottom