Msikilize Nakaaya ndani ya CNN!

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,257
353
Its nice to see msanii wa bongo flavour akiongea kizungu na kumwaga point for a change, well done dada! Huyu mdada atakuwa amesomea hizi shule za academia au ameishi majuu?

Bofya hapa-Spoti na Starehe
 
KKN,

Ukitaka uwaelewe vizuri hao wanaotoa comments za ajabuajabu hapa nenda kule kwenye post ile inayohusu''maisha plus'' na ile ya ''Movie za kibongo''.....! Kifupi wengi naona hawapendi initiatives za wazalendo wenzetu...kila kitu ni kukandia tu!

Nafikiri ungesema labda Eve or Lopez kaongea na CNN.....jamaa kibao labda wangekuunga mkono!

Naungana na wewe..ni hatua nzuri kwa hawa vijana!
 
...to see msanii wa bongo flavour akiongea kizungu na kumwaga point

Dada anaimba vizuri. Na anapendeza na style yake. Anastahili kuzidi kupanda zaidi na zaidi.

Na ningependa zaidi kumuelewa hapo "alipomwaga pointi" maana kaniacha kidogo solemba. Kaulizwa kuhusu mwimbo wake Mr. Politician ulivyo pata sapoti na mvuto, akaporomoka hivi:
"Because it is speaking the truth, you know, we are all frustrated, we are all frustrated, I don't care what is put out there, and how we 're made to look like, you know, they are having a good time, no, we are very frustrated by the way things are going.

"I always say this, now you're dealing with a generation of Africans that is so much more exposed, this is not that generation of Africans that are living in the village, don't have shoes on.

"This is a very different type of Africa that I feel has not been exposed, but we think about this, we express ourselves and we talk about this, hence the [kakatwa]..."

Ame paint picha tatu za jamii yake moja hiyo hiyo:

1) Jamii ya watu frustrated sana na mambo yanavyokwenda

2) Jamii ya watu wanaoonyeshwa kwamba wana neema sana, mambo mswano, wakati sio.

3) Jamii ya watu exposed, modern, expressive, ambao sio wa kukaa vijijini tena, kuvaa ndala

Kwa kuanzia, ningependa kujua ni nani huwa anajaribu kuonyesha kwamba jamii za Tanzania, za Africa, mambo yao safi, hawako frustrated, ni press ya Tanzania, au Kikwete wa CCM anaesema hajui kwa nini Tanzania ni masikini, ama Western Media wanaoonyesha vitoto na nzi midomoni, na mabakuli ya uji, na utapiamlo?

Na hii jamii yake anayoiongelea ambayo si tena ya kuishi vijijini kuvaa ndala, ni ipi hiyo anaiongelea huyu msanii?

Anasema yeye ni "country girl," so she can tell us, she should know maisha ya huko upcountry kwao, vijijini kwake, Nairobi, Arusha, na Dar-es-salaam, miji aliyo zaliwa, kusoma na kuishi!

Kana Ka Nsungu, nisaidie kuelewa huko "kumwaga pointi" kwa huyu msanii "country girl."
 
come on guys,by tanzanian standards she has done well,lets give credit where its due,her composure in front of the camera is plus,plus with a slight bit of polishing,she can vow any audience--- go girl go
 
Kana Ka Nsungu, nisaidie kuelewa huko "kumwaga pointi" kwa huyu msanii "country girl."

Kwa hiyo unataka kuniambia toka mwanzo hadi mwisho wa hiyo interview Nakaaya hajamwaga point yoyote? Watu kama nyie ndo mnatufanya JF member tuonekana kwamba kazi yetu ni kuki criticise tu. Mimi kwenye hiyo interview nimejaribu kuignore negatives na kuchukua positives. Ningependa sana kuona mmoja wa watu kama nyie akihojiwa CNN nione itakuwaje but I know it will never happen!
 
TRUST ME,the majority of people chucking negatives at nakaaya,cannot even talk their mother tongue when faced with rolling cameras
 
Am always late! Did any one ever post it here?
Then what??!!!give m a break
 
....Mimi kwenye hiyo interview nimejaribu kuignore negatives na kuchukua positives. Ningependa sana kuona mmoja wa watu kama nyie akihojiwa CNN nione itakuwaje but I know it will never happen!

come on guys,by tanzanian standards she has done well,lets give credit where its due,her composure in front of the camera is plus,plus with a slight bit of polishing,she can vow any audience--- go girl go

"A bit of polishing...nimejaribu ku gnore negatives na kuchukua positives...By Tanzanian standards..."?

Angalau hamkubisha kwamba kachemka chemka.
 
Kwa hiyo unataka kuniambia toka mwanzo hadi mwisho wa hiyo interview Nakaaya hajamwaga point yoyote? Watu kama nyie ndo mnatufanya JF member tuonekana kwamba kazi yetu ni kuki criticise tu. Mimi kwenye hiyo interview nimejaribu kuignore negatives na kuchukua positives. Ningependa sana kuona mmoja wa watu kama nyie akihojiwa CNN nione itakuwaje but I know it will never happen!
mwanzoni ulisifia kwa kile tu aliongea kingreza....nikakuona hamnazo na wewe tu......kingreza hata NN anajua lakini point hamna.....

.......Kingine nikiachilia mbali kingreza kajitahidi kujibu maswali vizuri nikimlinganisha na wasnii wa bongo fleva.....nilisikia interview ya sir nature nilitamani kulia......

........namuunga mkono nakaaya mkuu saana tena saana tu.....
 
Back
Top Bottom