Msikilize Mmsaai Akibembeleza

Unafikiria mambo yangu madogo, ndio maana siweki hapa wazi wazi ili kunusuru hizo ndoa za wengine.
hongera zako basi maana umeshatuambia kuwa wewe ni zaidi ya yero na kuwa mambo yako si madogo lkn hutaki kuyaweka hadharani hivyo umetupa kichwa cha habari tu lkn content unamalizia chumbani kwako,safi sana mkuu!
 
Ahsante mkuu, ila hatupaswi kuya-hadithia tuyafanyayo uko vyumbani....!
 
Siku hizi "Mambo hadharani mkuu" Ndio demokrasia ya mapenzi katika kizazi kipya.

Uzuri mimi si katika kizazi kipya, na mambo ya ubazazi sisi wa kizazi cha zamani bahati nzuri hatunayo hayo... Nashukuru tulishafunzwa tabia njema.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom