Msikilize Lusinde akiuza sera za CHAMA CHA MAPINDUZI

Naamini kwa maneno hayo, ccm hawakuongeza hata mwanachama mmoja. Maana hakuna cha maana hata moja
 
hakuzungumza kitu chochote cha kunyanyua uchumi, elimu, afya n.k. yote ni mambo ya kipuuzi ya kihuni na watu wanashangilia ! tutafika tunakotaka kufika ikiwa hawa ndio wako mbele ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom