Msigwa/Filikunjombe, itikadi kando - tuungane kujenga nchi

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
DSCF4808.JPG
DSCF4815.JPG

Mbunge wa jimbo la Iringa mjini Mhungaji Peter Msigwa(Chadema) picha ya kushoto akiteta jambo na mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe (CCM) kabla ya kuanza kwa kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa

DSCF4810.JPG
DSCF4812.JPG


Wajumbe mbalimbali kwenye kikao cha Mkoa Iringa.

Swali:
Mkoa mpya wa Njombe bado ni mkoa mteule tu ambao haujaanza kuwa mkoa kamili unaojitegemea kwa sababu ya viongozi waandamizi kutoteuliwa?
 
Back
Top Bottom