Msigwa awaandalia chakula cha jioni makamanda wa M4C nyumbani kwake Iringa.

Hongera mchungaji kwa ukarimu wako. Ninao ushauri kidogo kuhusu blog yako. Napendekeza uondoe neno Mh badala yake uweke Mch Peter Msigwa Blog. Title ya uchungaji ni ya kudumu na ina hadhi kuliko hii ya uheshimiwa.
 
Back
Top Bottom