Msidhani kila mwanamke atafutae rafiki/mpenzi/mume humu LV ni M.ALAYA

Ha ha ha ulipelekwa Guest House ..daah Jamaa alikudharau sana...seems u didn't stand in ur lane.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Moderators waliiweka hii jukwaa la love connect kwa nia nzuri na akili zao timamu. Lakn mafataki,aka great stinker wanaharibu kwa kuendekeza ngono. Msituharibie JF jamani...mwende huko ohio au buguruni ndio kunawafaa. Shame on you all mnaoleta ufataki..
 
Bora uwaeleze.
 
Yaani mtoa mada alichozungumza ni ukweli mtupu hata mimi yameshanikuta, nili respond kwa mkaka mmoja aliyekuwa anatafuta mchumba, akaniambia angependa tukutane guest house kwani ni mahali palipo tulia na akaongeza anatangulia yeye ataniambia yuko chumba namba ngapi ili nimfuate... Nilipatwa na bumbuazi na sikuamini kumbe ndio wanajidai wanatafuta wake kumbe wanatafuta wadada wa kufanya nao ngono. Mi sikutaka kujirisk kwenda huko guest house, hivyo nikakata mawasiliano nae mara moja maana nilikuwa nimeshamgundua nia yake nikaachana nae. Ila nilishangaa sana.

Jamani amazon,pole sana kwa yaliyo kukuta.
 
ama kwel kizur chajiuza kibovu chajitangaza pple are not marketable so they advertize themselves here polen sana wahanga
 
Kichwa cha habari kimejitosheleza.
Si wote mnaodhani mwanamke atafutae rafiki/mpenzi/mume humu LV ni Prostitute!!!

Mtu anaku-PM vizuri,mnaongea na baada ya kuridhika na maelezo yake mnapanga siku ya kuonana.
Lakini siku ya kwanza tu kuonana anakwambia Muende Guesti House eti mkaongelee huko,
Nawe kwa kumtega unamwambia twende,
Bila aibu anapitia dukani kununua mpira!!
Shame!!!
Hv huoni aibu??
Ndivyo ulivyoaga kwenu hvo??
Nyambafff!!!

Na mwingine utamsikia "Ooho napenda sana kufanyia mazungumzo Guest kwani ni mahala tulivu na hakuna makelele wala honi za magari"
Khaaa!!!

Jamani ndivyo mlivyolelewa na wazazi wenu hvo???
Jamani, wanaume wachache humu mtawakosesha wenzenu wenye nia ya kweli ya kutafuta wenza wa maisha.

Angalieni sana, si kila mwanamke wa majaribio.
Kama mmezoea wanawake wa majaribio huko mitaani,basi hapa mmechemsha.

Sijalenga watu/mtu yeyote,
anaye/wanao jishuku huenda akawa/wakawa mhusika/wahusika.

baada kusoma maelezo yako naona utanifaa naomba namba yako au ni sms kupitia 0753082524
 
Waambie hao vijanaume vipenda ngono real man anasubira alaaa watu wapo serious mingine inaleta mizaa mfyuuuuu...
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom