Msidhani kila mwanamke atafutae rafiki/mpenzi/mume humu LV ni M.ALAYA

we are thinking too small, hivi unapotafuta hapa mchumba huwa umeamua kukutana na wanaume/wanawake wangapi? coz jf ina member kibao na assume ukapata pm 100 hivi, ina maana utataman ukutane nao wote hafu mwisho wa siku unakuta umekosa wote.
 
Kichwa cha habari kimejitosheleza.
Si wote mnaodhani mwanamke atafutae rafiki/mpenzi/mume humu LV ni Prostitute!!!

Mtu anaku-PM vizuri,mnaongea na baada ya kuridhika na maelezo yake mnapanga siku ya kuonana.
Lakini siku ya kwanza tu kuonana anakwambia Muende Guesti House eti mkaongelee huko,
Nawe kwa kumtega unamwambia twende,
Bila aibu anapitia dukani kununua mpira!!
Shame!!!
Hv huoni aibu??
Ndivyo ulivyoaga kwenu hvo??
Nyambafff!!!

Na mwingine utamsikia "Ooho napenda sana kufanyia mazungumzo Guest kwani ni mahala tulivu na hakuna makelele wala honi za magari"
Khaaa!!!

Jamani ndivyo mlivyolelewa na wazazi wenu hvo???
Jamani, wanaume wachache humu mtawakosesha wenzenu wenye nia ya kweli ya kutafuta wenza wa maisha.

Angalieni sana, si kila mwanamke wa majaribio.
Kama mmezoea wanawake wa majaribio huko mitaani,basi hapa mmechemsha.

Sijalenga watu/mtu yeyote,
anaye/wanao jishuku huenda akawa/wakawa mhusika/wahusika.

hayo ndio yaliyokukuta ndugu pole sana ndivyo tuivyo watz..
 
Mimi yaliyonikuta si kwamba nilitangaza mimi, hapanaaa.... Kuna mkaka alitoa tangazo anahitaji mchumba/mke sasa ndio nikarespond kwenye hilo tangazo lake.. Mwisho wa siku ndio yakanikuta ya kunikuta..

Pole my dear hope you learnt someting kama hujui huku watu wamelizwa kibao we si unaona id mpya kila siku tena una bahati hata umekuta mwanaume kuna wanawake huku wametongoza wanawake wenzao huku ni funny tu mpenzi no one is serious labda matapeli
 
we are thinking too small, hivi unapotafuta hapa mchumba huwa umeamua kukutana na wanaume/wanawake wangapi? coz jf ina member kibao na assume ukapata pm 100 hivi, ina maana utataman ukutane nao wote hafu mwisho wa siku unakuta umekosa wote.

Ndio maana kuna kipengele cha sifa.
Hata kama utawapata 1000 si wote watakaofiti vigezo,ni lazima upange,na kupanga si kuchagua mkuu.
 
Rudia kusoma kwanza,
kisha uulize tena.
Pole dada yangu , ndoo bongo hiyo tunafikiria kwa kutumia kichwa cha pili kilicho katika ya miguu. kwa kweli kwa siku ya kwanza walau mtu angezuga aonekane muungwana kidogo. Mtu anasema anatafuta mchumba sio anatafuta mtu wa Kudo. Usikate tamaa kuwakaribisha wengine, naamini mhusika atafika muda mwafaka
 
Yaani acha tu,
ni wapenda ngono tu.
Kwa kweli humu hakufai,si kwa kutafutia mwenza kwa kweli.
Inabidi wabadilike kwa kweli maana tunakoelekea doh!

Daah jamani nyie wakwale hebu acheni hizo mtatukosesha wake ambao ni ma great thinker bhana,
pole sana AmKATRINA ila ipo siku MUNGU atakupa wa ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Pole my dear hope you learnt someting kama hujui huku watu wamelizwa kibao we si unaona id mpya kila siku tena una bahati hata umekuta mwanaume kuna wanawake huku wametongoza wanawake wenzao huku ni funny tu mpenzi no one is serious labda matapeli

Asante my dear, kwa kweli nimepata fundisho kubwa sana.. Thanks..
 
Ila kuna men aliwahi tafuta mchumba huku pia akakutana na hayo hayo ikabidi akaoe kijijini kwao na hadi leo hana imani na wanawake wa mtandaoni na ameshatoa onyo kwa watoto na ndugu zake wasijaribu
 
Pole dada yangu , ndoo bongo hiyo tunafikiria kwa kutumia kichwa cha pili kilicho katika ya miguu. kwa kweli kwa siku ya kwanza walau mtu angezuga aonekane muungwana kidogo. Mtu anasema anatafuta mchumba sio anatafuta mtu wa Kudo. Usikate tamaa kuwakaribisha wengine, naamini mhusika atafika muda mwafaka

Kama mtu anaona aibu si aseme kwa kutumia lugha ingine.
Asante mkuu ila nimeshajifunza vingi tu through this.
Haya bhana.
 
Daah jamani nyie wakwale hebu acheni hizo mtatukosesha wake ambao ni ma great thinker bhana,
pole sana AmKATRINA ila ipo siku MUNGU atakupa wa ukweli.

Asante Aswel,
ila wakanyeni wanaume wanaovuruga maana nzima ya kuhitaji mwenza.
Ila kila mtu kazaliwa na mzazi tofauti hvyo siwezi badili tabia ya mtu.
Poa mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Ila kuna men aliwahi tafuta mchumba huku pia akakutana na hayo hayo ikabidi akaoe kijijini kwao na hadi leo hana imani na wanawake wa mtandaoni na ameshatoa onyo kwa watoto na ndugu zake wasijaribu

Kwa kweli tunakoelekea itabidi tuwasiliane na bibi zetu watuwekee oda ya mchumba kijijini.
Mjini pagumu.
Poa mkuu MVUMBUZI
 
Last edited by a moderator:
Baeleze bajue bana...kwelii kuna maongezi mengine yanahitaji muwe mahali tulivu..lkn lazima iwe guest? tafuta hata hotel yenye hadhi ya nyota 3 - 5 zina utulivu wakutosha...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom