Msidhani kila mwanamke atafutae rafiki/mpenzi/mume humu LV ni M.ALAYA

Watu walifikiri "kitonga" (mteremko),
You sound to be good wife if occupied!! Maana una msimamo.

But next time usiseme eti unamtega mtu kwa kwenda nae Guest house, akikubaka huko no one will believe hakua fiancée wako!!

Kila la kheri best

Si kwamba nilifika nae mpaka Guest.
Nilipoona kaenda kununua mpira nikajua sio salama tena.
Nikamuaga zangu.
 
Yaani mtoa mada alichozungumza ni ukweli mtupu hata mimi yameshanikuta, nili respond kwa mkaka mmoja aliyekuwa anatafuta mchumba, akaniambia angependa tukutane guest house kwani ni mahali palipo tulia na akaongeza anatangulia yeye ataniambia yuko chumba namba ngapi ili nimfuate... Nilipatwa na bumbuazi na sikuamini kumbe ndio wanajidai wanatafuta wake kumbe wanatafuta wadada wa kufanya nao ngono. Mi sikutaka kujirisk kwenda huko guest house, hivyo nikakata mawasiliano nae mara moja maana nilikuwa nimeshamgundua nia yake nikaachana nae. Ila nilishangaa sana.

karibu kwangu mimi MBWIGA
 
Tena Maskini ya Mungu Tangazo Lenyewe Nililotoa La Kutafuta Mchumba Hata Mwezi Halina.
 
Asante mkuu,
wanaume wachache watawafanya wanaume wengine wenye u-serious wasifanikiwe.

AmKATRINA, consider hii ni challenge nzuri. umeikabili na umeshinda ... huoni ni sehemu ya maisha yako , kujitambua, kujielewa na kujisimamia? isn't this wonderful?
 
Last edited by a moderator:
AmKATRINA, consider hii ni challenge nzuri. umeikabili na umeshinda ... huoni ni sehemu ya maisha yako , kujitambua, kujielewa na kujisimamia? isn't this wonderful?

Yes mkuu Azimio Jipya!!!
Nimepata Challenge flani kuhusu aina za wanaume.
Ni kweli nimeikabili na nimeishinda.
Naamini sasa nimepata funzo fulani ambalo nitaweza kukabiliana nalo endapo litakuja tena.
Asante mkuu.
 
Last edited by a moderator:
natafuta mchumba wa kike,sharti lazima nikuonje kwanza ndo mambo mengine yaendelee
 
Yani nimecheka hadi machozi tilia maanani ushauri wa kaunga halafu wengi humu waume za watu ,matapeli na mengineyo kama alivyosema dada Kaunga bora kusubiri aliyetangaza

Mimi yaliyonikuta si kwamba nilitangaza mimi, hapanaaa.... Kuna mkaka alitoa tangazo anahitaji mchumba/mke sasa ndio nikarespond kwenye hilo tangazo lake.. Mwisho wa siku ndio yakanikuta ya kunikuta..
 
Sihitaji kuzoeana na mtu yeyote.
Eti "nataka kula vya watu kwa hyo nami niliwe"
Acha ujinga wewe,ndio nyie tunaowaelezea.
scofield vs katrina,nasikia harufu ya damu hapa,au ndo yale ya kurusha jiwe gizani anayepiga kelele?
 
Du!! kuna kitu sielewi hivi inawezekanaje kumpenda mtu ambae hujawahi muona make unapotafuta mchumba kwa njia hiyo ni ngumu kupata chaguo sahii ndo maana wanatokea magendaheka kama hao.

Niaminivyo mimi kila mtu ana picha ya mtu anaetamani awe mwenza wake akilini mwake hivyo kumwona mtu wa ndoto zako huamsha hisa za mapenzi ndani yako na kifuatacho ni kujua tabia ya huyo umdhaniae kama ita-cope na yako then mahusiano.

Tofauti na hapo tegemea kukutana na vituko,maudhi,masorosoro na upuuzi mwingi tu.
 
mwanaume kamili hawezi oa bila kuonja wew! Kama una ukakasi je ntajuaje? peleka tangazo lako kanisani...

Huwaga sina tabia ya kuwekeana ligi na wapuuzi kama ninyi.
Ina maana Kanisa sikuliona mkuu ossy?
Usilete Uchicha Mwiba wako humu jamvini.
May be Mombasa ndo pakufaa.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom