Msicheke nimeulizwa na mimi sijui

hahaha,mmepinda nyie! mie huwa linaniboa kwa kweli. bt i guess faru aliokota mpiira wa golf (ndo inachezwa mwituni huko,kama mwitu wa gymkhana,lol), halafu akautaga mpira baada ya kuona mountain dew (nimeanza uongo sasa,kha!). ila na ww sijui baba gani,hapo ulitakiwa utoe homework kesho ukute jibu na ww urudi na keki ya futari! hujui watoto wana akili kuliko sie?
mpaka kufikia kuleta hapa ujue homework ilishatoka, na hakuna jibu na zawadi ina-hang haina mwenyewe.
 
ewaaaa! sasa si uniletee mie nimetoa jibu? kwa faru kazima zake alipoona mountain dew manake iko kama drip ya quinine!

mpaka kufikia kuleta hapa ujue homework ilishatoka, na hakuna jibu na zawadi ina-hang haina mwenyewe.
<br />
<br />
 
ha ha ha! Nmecheka mpk, ukiachana na hcho unachokiita Yai, vilevile lile tangazo n gumu kulielewa km kumaliza COET bila Sup.
hapa ndipo watu wa marketing wanapotakiwa kuwa makini na wabunifu zaid (i think wao ndo wantoa ideas)i, manake tangazo ni lazima lifikishe ujumbe, lakini vile vile lieleweke, ukisikiliza magangazo ya" ulevi noooooma.. " unapata ujumbe na unaelewe....
 
ewaaaa! sasa si uniletee mie nimetoa jibu? kwa faru kazima zake alipoona mountain dew manake iko kama drip ya quinine!

<br />
<br />

tatizo jibu lako huna uhakika " bt i guess faru aliokota mpiira wa golf ....", so no zawadi
 
Lol, kile ni kitenesi yaani jamaa amemfundisha kifaru kufuata kitenesi kama mbwa anavyofanya.
Mauntain Dew inawalenga vijana wanaopenda lifestyle ya "extreme" kama wale wanaochezea skateboard kwa mfano, so ukinywa Mountain Dew utakuwa extreme kiasi cha kumtrain kifaru.
 
  • Thanks
Reactions: mja

it sound something... thanks
 
Back
Top Bottom