Msichana wa Mshikaji wangu anafanya Night Club kama muuza mwili

Jamani ama kweli hujafa hujaumbika na humu chini ya jua kuna mambo kibao yanatokea...Niko na rafiki yangu Ughaibuni jamani, ofcuz hana zile kitu inaitwa papers, sasa bahati nzuri alikutana na msichana mmoja kweli ni mzuri, sasa huyu msichana kila siku anaenda kazini saa mbili usiku, baada ya miezi miwili wakiwa wanakaa pamoja jamaa kagundua huyu demu wake anafanya kazi Night Club, kaamua kuondoka ila demu anakubali kuolewa na jamaa siku yoyote, jamaa hana hili wala lile kaniuliza, je wanajamvi nimshaurije? Kesho nakutana nae.....ushauri wanaThinkers.....

You know When the Going get tough... well the tough GET going.......... u r asking us to urge against his feelings and affection.. trust me bro u dnt knw what love is capable of... u need to be cruel and extremely conservative to yourself before u can challenge u r own heart and desire.. thus its only him and his own heart to decide by using little sense of dignity.....
 
Ulaya Soo kuna jamaa ana mke wake (wote wazungu lkn) Yule mwanamke ni Porn Star, lkn jamaa anasisitiza kwamba ile ni kazi kama kazi nyingine, so akitoka huko anarudi home ni mke wa mtu akiwa kazini ni kazini anasema hafanyi kwa mapenzi anafanya kazi ili apate riziki, so akirudi home kwa jamaa ndo anafasnya kwa mapenzi hahahahaha kweli ulaya nooooma.

maisha gani haya jamani?:yuck:
 
Akchuali home huwa mumewe hupenda kuweka mikanda ya mkewe usiku kabla ya makasheshe
 
ahahahaha...hili suala linanikumbusha mahitaji ya kila interview yoyote watu tunazohudhuria duniani.."EXPERIENCE"..wewe unataka kuoa, unayetaka kumwoa anameet kwa kiwango cha juu cha experience katika ile kazi unayotaka kumpa ajira...why on earth unajiuliza kumwajiri au kumwacha???..

sie midume banaaa..arghhhhhh... KAKA MWAMBIE JAMAA YAKO AOE FASTAAAAA..CV ya wife wake iko juu sana katika suala la uzoefu...na naamini ataifurahi ndoa yake...na kazi ni kazi ilimradi mkono uende kinywaniiiiii....
 
Jamani ama kweli hujafa hujaumbika na humu chini ya jua kuna mambo kibao yanatokea...Niko na rafiki yangu Ughaibuni jamani, ofcuz hana zile kitu inaitwa papers, sasa bahati nzuri alikutana na msichana mmoja kweli ni mzuri, sasa huyu msichana kila siku anaenda kazini saa mbili usiku, baada ya miezi miwili wakiwa wanakaa pamoja jamaa kagundua huyu demu wake anafanya kazi Night Club, kaamua kuondoka ila demu anakubali kuolewa na jamaa siku yoyote, jamaa hana hili wala lile kaniuliza, je wanajamvi nimshaurije? Kesho nakutana nae.....ushauri wanaThinkers.....

Mwambie ajishauri mwenyewe maana hali halisi anaijua kisha akikueleza alivyo amua ni vema na wewe ukachangia kama utaona hakumtendea haki. Mimi naamini kazi ni kazi tu wengine wanafanya kazi ili wasiadhirike utakuta mtu ameshatafuta sana kazi hajapata mwisho wa siku anakubali kufanya kazi za kishenz.....
 
nadhani hili ndio jibu muafaka,
kwa sasa ndoa yao inahang kwenye imbalance..
wivu umetawala kwa mwanaume,akidhani wenzie wanafaidi zaidi..tunda lake...
sasa na yeye akagawe dudu ili kubalance mambo...:bump::party:
Duh we kiboko Roselyn hii comment nimeikubali hahaha
 
Mwambie ausikilize moyo wake. Kama anampenda kweli hatajali kazi anayofanya. Labda kama kazi anayofanya ni kuuza mzigo..

Ila kwa vile hana papers basi pia anaweza kuamua kufanya biashara ili mwisho wa siku apate papers. Ni suala gumu sana ila cha msingi ajiangalie anataka nini katika maisha yake ya usoni!
uh naona ni family business

Mkuu ndo maana ake msichana anauza mwili wake....Na msichana mie mwanzoni alinambia ni mama ake anauza mwili sasa d
 
Duh we kiboko Roselyn hii comment nimeikubali hahaha.................. Originally Posted by roselyne1
nadhani hili ndio jibu muafaka,
kwa sasa ndoa yao inahang kwenye imbalance..
wivu umetawala kwa mwanaume,akidhani wenzie wanafaidi zaidi..tunda lake...

Cha kushangaza mkuu jamaa kila akitoka mchana akiaga anaenda kwa washikaji zake msichana anamufuata kwa nyuma...na alishacheck simu ya jamaa na kuwapigia simu wote wenye majina ya kike na kuwaonya waachane na mme mtarajiwa wake...i mean ana wivu sana kwa jamaa...swali jamaa hajui what to do...Kakimbia kwa demu na demu anamlilia kila siku...je hapa mapenzi yapo au ngonjera tu jamani?
 
Mwambie ajishauri mwenyewe maana hali halisi anaijua kisha akikueleza alivyo amua ni vema na wewe ukachangia kama utaona hakumtendea haki. Mimi naamini kazi ni kazi tu wengine wanafanya kazi ili wasiadhirike utakuta mtu ameshatafuta sana kazi hajapata mwisho wa siku anakubali kufanya kazi za kishenz.....

Huyu demu ana wivu acha...jamaa hana papers na hii ni kama zali la mentali kwake, msichana kamwambia ana mimba...hizi ni news za leo na nimekutana nao wote, tumeongea mengi, mimi kama mimi nimeshauri msichana akae afikirie zaidi, amesema kila siku anatamani kuacha lkn MAFIA wanamforce, hana jinsi, je hili ni kweli?Inaonekana msichana anampenda jamaa na pia kuhusu fweza jamani msichana amesema, mama ake anauza pia na ndio alomlazimisha maana alikuwa hampi hela za matumizi, kila akiomba ilikuwa ni uchumi unao ila unaukalia, baba ake ni alkohoric...
 
ahahahaha...hili suala linanikumbusha mahitaji ya kila interview yoyote watu tunazohudhuria duniani.."EXPERIENCE"..wewe unataka kuoa, unayetaka kumwoa anameet kwa kiwango cha juu cha experience katika ile kazi unayotaka kumpa ajira...why on earth unajiuliza kumwajiri au kumwacha???..

sie midume banaaa..arghhhhhh... KAKA MWAMBIE JAMAA YAKO AOE FASTAAAAA..CV ya wife wake iko juu sana katika suala la uzoefu...na naamini ataifurahi ndoa yake...na kazi ni kazi ilimradi mkono uende kinywaniiiiii....

Hahahahaha mkuu u make ma day
 
Hapa ni kutafakari kwa kina siyo kuropoka na kukurupuka tu.

Kama huyo kijana anampenda kweli basi wakae chini na watafakari maisha yao kuwa wakioana itakuwaje..

Na pia kama huyo msichana ana elimu ya kutosha na pia uko tayari kuacha hiyo kazi na kufanya kazi nyingine..

Halafu hapo watapata muafaka kwa pamoja... Kazi ni kazi tu jamani...
 
kama jamaa bado anampenda itabidi atafute kazi yamaana
ili amtunze na akiwa anaingiza pesa ya maana anaweza
kumwambia huyo dada aache hiyo kazi......
au huyo jamaa amtafutie kazi nyingine ya maana ...
kwa sababu haya maisha achananayo bwana watu wanafanya vitu vya ajabu kuliko huyo dada ili tu ku survive...
kumuacha si solution kabisa..... kama bado wanapendana ...

Umenena jamani maana hata mie nimempa huo ushauri lakini naona jamaa hataki kabisa sikia hilo neno, eti anasema kamwaibisha....anyway ntajaribu tena maana kila siku nakutana nao....
 
Kaka me nakushauri umshauri aachane na huyo binti kama kweli anauza mwili, na hata hivyo asimuoe kwa sababu eti demu anazo na yeye kapigika, atakuja kua mume ***** siku si nyingi.
Lakini ngoja niulize, kwa nini mnang'ang'ania utumwani ili hali mwaweza rudi home mkafanya mabadiliko? huku home utumwa umekua wa kifikra zaidi (sihitaji kuelezea), me nawashauri mlioko ughaibuni kama mmepigika rudi nyumbani huku huwezi kufa njaa atiii.

Hapo dif colour umeharibu, unajuaje huku tuko utumwani? baba yako Kikwete kila siku anakuja huku kuombaomba, we tumia akili kujibu sio macho, toa ushauri wa maada sio ushauri wa jinsi gani au mahali gani mtu aweze kuishi, wewe kama unataka kuiishi huko ishi ila sio wote sawa? maisha ya mtu mwingine achana nayo au yaheshimu...kwa taarifa yako huyu jamaa sio hana visa lahasha elewa maana ya makaratasi na Stay permit sawa bwana mdogo? na msichana ni mkali zaidi ya demu wako kama unaye am sure for that...
 
Hivi Night club kuna kazi gani? Hakuna kazi huko bila mwanamke kujiuza? Labda ni cashier? Waitress? Kama anauza mwili huyo haifai lakini kama anafanya kazi kama nyingine ,say, jikoni, counter ni suala la kumwamisha lakini shida ni kwamba ana papers lakini bado anaweza kumpeleka shule na akafanya kazi nyingine sehemu nyingine. Je, mke akiwa nurse utafanyaje? Au banker anatoka saa mbili baada ya ku-balance mahesabu au mhariri wa gazeti anatoka saa 6 usiku baada ya kuona print out ya kwanza, utafanyaje?

Ila ofisi inayoitwa Night Club noma!

Ng'wanamayu....lekaga ngosha, ni anauza limwili ana ana contract ya miaka miwili so no jinsi msela kama vipi asubiri contract iishe, kukatisha contract ni aghali namhala....
 
Labda ungesema huko night club anafanya shughuli gani. kufanya kazi tu night club si tatizo manake kuna kazi nyingi sana. Akiwa malaya labda anajiuza sawa. kama si hivyo mbona poa tu.

Anauza Kitumbua chake aka utamu kunako
 
ahahahaha...hili suala linanikumbusha mahitaji ya kila interview yoyote watu tunazohudhuria duniani.."EXPERIENCE"..wewe unataka kuoa, unayetaka kumwoa anameet kwa kiwango cha juu cha experience katika ile kazi unayotaka kumpa ajira...why on earth unajiuliza kumwajiri au kumwacha???..

sie midume banaaa..arghhhhhh... KAKA MWAMBIE JAMAA YAKO AOE FASTAAAAA..CV ya wife wake iko juu sana katika suala la uzoefu...na naamini ataifurahi ndoa yake...na kazi ni kazi ilimradi mkono uende kinywaniiiiii....

Kaka acha nilipewa trailer na jamaa before hawajaamua kuishi pamoja, mkuu nilidata, from the biggining nilihisi huyu demu ni kama profesional frani, siwezi kusema mengi maana mhhh naogopa ban.....
 
Hapa ni kutafakari kwa kina siyo kuropoka na kukurupuka tu.

Kama huyo kijana anampenda kweli basi wakae chini na watafakari maisha yao kuwa wakioana itakuwaje..

Na pia kama huyo msichana ana elimu ya kutosha na pia uko tayari kuacha hiyo kazi na kufanya kazi nyingine..

Halafu hapo watapata muafaka kwa pamoja... Kazi ni kazi tu jamani...

Halafu mkuu yuko na contract sasa ya two years so mpaka iishe ndo aache....ndo cash inamlisha msichana...
 
Kama huyo msichana analipa, siyo vibaya na wewe kwanza ukaenda kumwona huko night club na baadae nawewe ubishe hodi uombe ule kitumbua tena kwa nafasi yako ule ushibe, amini usiamini huyo dada analipa sana na utafaidi sana kwa uzoefu alionao. Fanya hima kabla jamaa yake hajashtuka na kuoa maana naona hajajua kama huyo dada analipa sana, eeeeh bwana ndo dunia utafaidi nini kama analipa halafu wewe unamwacha na anakuwa night club
 
hii kiboko...
 
Umenena jamani maana hata mie nimempa huo ushauri lakini naona jamaa hataki kabisa sikia hilo neno, eti anasema kamwaibisha....anyway ntajaribu tena maana kila siku nakutana nao....

itakuwa vizuri sana kama ukiongea nae tena ....
mimi binafsi naona ni borea hata anajua demu wake anafanaya kazi gani.....
na minaona ni muda wa yeye kuwa mwanaume na kusimama na kusema anachotaka..
jambo kama hili anaweza sana kuli correct..
naache kulalamika kama mtoto mdogo....
unajua kuna watu wanaishi na wake/wasichana na hawajui kabisa wanafanya kazi gani.......
bahati yake huyo anajua ukweli..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom