ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,772
- 6,554
Tatizo serikali kwani iko wapi? Serikali inazifumbia macho hizi danguro ikidhani kwamba zinafanya biashara halali. We unafikiri wataweka mibibi kwenye hizi danguro?,lazima waweke vibinti vidogovidogo kuwavutia wanaume. Serikali ifungue macho na nyie wamiliki wa hizi danguro acheni ujinga muogopeni mungu.
kama ndo hivyo ianze na ccm minazini m/nyamala wanaopangisha wauza nyuchi zao pale hospitali ndio wamalize na watu binafsi..