Msichana wa kazi anahitajika mwanza

JATELO1

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
1,230
301
Wanajf;
msichana wa kazi anahitajika na sehemu ya kazi ni mwanza mjini. Kama kuna msichana unamfahamu mwenye tabia nzuri na anahitaji kazi za ndani basi tuwasiliane kwa pm ili nimwelekeze ni sehemu gani mwanza. Mshahara ni maelewano.
Rdi
 
Wadau;
kama huyo msichana wa kazi akipatikana hasa maeneo ya kanda ya ziwa kama geita, biharamulo, mwanza, shinyanga, tabora na mara atasafirishwa mpaka mwanza kwa gharama za boss wake ili mradi awe na tabia njema. Naomba pm kwa yule atakayepatikana.
Rdi.
 
wadau;

hii biashara kwa nini isikomeshwe????vigezo vya kazi ni vipi?kama si unyanyasaji mwingine?darasa la 7?wafundishe watoto wako kufua na kupika,na kufanya usafi huku wanasoma!!vinginevyo ndo mtuletea mafisad ya baadae!!!
 
ahsante kwa maoni yako. Lkn mimi ninachojua ni kwamba hii nayo ni ajira kama zilivyo ajira zingine. Sijakuelewa ni kwa kigezo gani unasema huu nao ni unyanyasaji na kuwaltea ufisadi baadaye. Sioni link kati ya unyanyasaji, ufisadi na nafasi ya msichana wa kazi. Wewe kama unaona ni vema mtu akae tu bila ya kuwa na cha kufanya, lkn mimi binafsi napenda kila mtu anawajibika ktk nafasi yake. Pia kumbuka kuwa ndiyo maana ya mgawanyo wa kazi. Wote hatuwezi kuwa maafisa tra.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom