Msichana mzuri anahitajika

:fish2:wasichana tupo babu wewe!!!!!!!!!!!!
lakin kwa mvulana wa dizaini hiii anayeitaji cv as if anataka kuipeleka BOT nkapate kazi mmh apana!!!!!
angeonyesha sense of humanity at least ngemconsider nimchek bt he shows to b materials oriented then mhh apana i beta hav msukuma mkokoteni as far as ataonyesha utu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kumbe bado uko single.......Ni-PM basi da Rose
 
hii thread imenikwaza
.......msichana anahitajika........sijui imekaa vipi.
kwani sisi bidhaa.........
 
hii thread imenikwaza
.......msichana anahitajika........sijui imekaa vipi.
kwani sisi bidhaa.........
Mi naona una-overreact tu hapo. We huwezi kumhitaji mwanaume yaani unadhani kila kinachohitajika ni bidhaa?????!!!!!!!!!!!!!!!
 
nashukuru kwa ushirikiano wenu muda bado wa kuendelea kutuma maombi
 
CV yako wewe iko wapi? Karne hii bado tu unadhani hii issue ni one-way street!
 
Since when CV has become an issue in starting love relationships?? What happened to the real feelings that two people of opposite sex share?

Hili ni tangazo la kazi kama matangazo mengine. Huyo anayetafutwa siyo rafiki/mke mtarajiwa, ni yaya wa kutunza nyumba au kuuza duka kama mhusika anatoka kule migombani!!
 
tatizo hapo sio cv yake mimi naona tatizo humu tumegeuza uwanja wa utani,tuwe serious na mambo yanayofanyika humu kama kusudio la kuanzishwa kwake.Wenzetu wanapata mafanikio kupitia blogu kama hizi simply because hawafanyi mzaa humu.yawezekana kweli kuna watu wanatafuta wachumba wa kweli lakini wanapuuzwa.tubadilike sasa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom