Msichana kafunguka nifanyeje.

Bandabichi

JF-Expert Member
Jun 3, 2012
230
42
Habari wakuu ndani ya jamvi.
Nimekutanae mara ya kwanza ktk inteview moja mjini DSM, Tukabadilishana namba za simu kwa lengo tupeane updates kuhusu hiyo interview. Ni miezi kama mitatu hivi imepita. Mawasiliano hayakuwa kivile ila wiki hili amekuja juu sana kimawasiliano. Anasema ameshawahi kutendwa na Ex wake na pia keshaoa.

Amekaa miaka kaa mitatu hivi bila kuwa na mahusiano yoyote na mtu.
Ananambia eti anoana kuwa naweza kuwa mme wake kama nipo tayari.

Swali kwa miezi mitatu kweli inatosha kwake au ni mapema kwake kufunguka. Je inakuwaje nisipomkubali, Mi sijaoa mabinti wapo ila niponipo kwanza USHAURI WAKUU>
 
mmmmh, utoto ni mapito tu.

Hapa ni mtihani wa maarifa, au lugha au hisabati???
 
muulize anataka ndoa au kuchachuana kuondoa hungry! kama ndoa it need more time to recognize mapungufu yake na yako (yenu) na strength zenu pia....sasa mkuu m2 mlikutana kwenye bench then mkaendelea kupigiana cm just for 3 months, jipen ample time, usiwage na papara kiviile.
 
pole sana duh! Kuwa na maamuzi ulikuwa huna mpango baada ya yeye kukwambia hivyo imekuchanganya inaonye jinsi usivyo na msimamo! Haya nahao wasichana wengine utawapeleka wapi? Acha uzinzi si sifa njema. "AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA AFANYA JAMBO LA KUIANGAMIZA NAFSI YAKE" Maana yake kila anayezini ni mpumbavu!!
 
ushasema bado upoupo kwanza....ushauriwe nini na maamuzi unayo mzeiya

Niponipo sawa na sikatai. Ila si kawaida katika jamii yetu msichana kufunguka. Na toka siku hiyo hatujaonana ila ni simu tu. Ne yy yupo DSM na mimi nipo mkoani.

Kumbuka ndipo ninkoelekea na kanishtua ni mapema mno kufunguka kwake
 
muulize anataka ndoa au kuchachuana kuondoa hungry! kama ndoa it need more time to recognize mapungufu yake na yako (yenu) na strength zenu pia....sasa mkuu m2 mlikutana kwenye bench then mkaendelea kupigiana cm just for 3 months, jipen ample time, usiwage na papara kiviile.

Anataka ndoa kionagozi wangu.
 
changamkia, kama ana -meet your "required qualifications"/criteria

aaaah wapi! kwa mbali naona kama jamaa hamfeel sema basi tu bado ana kiwewe cha kuambiwa i loved u... wa aina hii akisha mchungulia tu huyo dada maungoni kwishney...dnt hurt her
 
Sasa nifanyeje nimwambieje mtoto wa kike? Unajua si masihala na si rahisi kwa msichana kufunguka kwa mwanaume na sio mtoto yuko kwenye umri wa kuolewa ameua chuo miaka mitatu imepita na pia anpiga masters
 
Mwambie: "Nashukuru sana kwa pendekezo lako, lakini suala la ndoa ni zito, linahitaji tufahamiane zaidi muda wa kutosha kabla ya kujitwika wajibu huo mzito"
 
kwanza siamini kwamba eti kuna kipindi cha kumfahamu utakaefunga nae ndoa coz hata kama anatabia za ajabu anaweza kuzificha akishapata akitakacho zinaanza kujitokeza.

Jambo la msingi ni jee, ulipanga kufunga ndoa ktk kipindi unachokifikiria? Umempenda? Umeridhika anakupenda?
 
Wanawake ni said ya uwajuavyo [

=Bandabichi;4150621]Habari wakuu ndani ya jamvi.
Nimekutanae mara ya kwanza ktk inteview moja mjini DSM, Tukabadilishana namba za simu kwa lengo tupeane updates kuhusu hiyo interview. Ni miezi kama mitatu hivi imepita. Mawasiliano hayakuwa kivile ila wiki hili amekuja juu sana kimawasiliano. Anasema ameshawahi kutendwa na Ex wake na pia keshaoa.

Amekaa miaka kaa mitatu hivi bila kuwa na mahusiano yoyote na mtu.
Ananambia eti anoana kuwa naweza kuwa mme wake kama nipo tayari.

Swali kwa miezi mitatu kweli inatosha kwake au ni mapema kwake kufunguka. Je inakuwaje nisipomkubali, Mi sijaoa mabinti wapo ila niponipo kwanza USHAURI WAKUU>[/QUOTE]
 
Habari wakuu ndani ya jamvi.
Nimekutanae mara ya kwanza ktk inteview moja mjini DSM, Tukabadilishana namba za simu kwa lengo tupeane updates kuhusu hiyo interview. Ni miezi kama mitatu hivi imepita. Mawasiliano hayakuwa kivile ila wiki hili amekuja juu sana kimawasiliano. Anasema ameshawahi kutendwa na Ex wake na pia keshaoa.

Amekaa miaka kaa mitatu hivi bila kuwa na mahusiano yoyote na mtu.
Ananambia eti anoana kuwa naweza kuwa mme wake kama nipo tayari.

Swali kwa miezi mitatu kweli inatosha kwake au ni mapema kwake kufunguka. Je inakuwaje nisipomkubali, Mi sijaoa mabinti wapo ila niponipo kwanza USHAURI WAKUU>

kwenye color,,,,,it seems unam'beza,,,stop
 
Back
Top Bottom