Msichana hakuamini alichokiona ndan ya gari:yani kama movie

dah, pole sn. Nis story tumejifunza kwa kweli. Dem alijifanya smart kumbe kuna smarter. Loh, aibu m'ke kuwa ma la. ya na kuwa muongo.
 
Aliyeuza cheni bandia.. akapewa noti bandia.. Huyu mwanamke alikuwa anamcheat boyfriend wake kwa miaka mitatu, na yule rafiki (dreva wa gari) nae amekuwa akimcheat P wake kwa miaka 3!! kaazi kweli kweli..
 
Ila umeipanga vema sana mkuu...fanya mpango ulete SEHEMU ya PILI na ya mwisho
 
dunia hii balaa yaani lazima huyo demu alikuwa anakula raha mbili tofauti kwenu wote. Sasa kazi anayo kutafuta mume
 
Mwanangu; pole sana na tena hongera kwa uvumilivu wako. Duh!!!!!!!! Ningekuwa na namba yako ya simu haki anani ningekutumia vocha uweke kwenye kimodem chako umalizie; imeishia wapi sasa??????????? Hata mimi yalinikuta ila hii ni nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
bab kubwa!
 
Mwanangu; pole sana na tena hongera kwa uvumilivu wako. Duh!!!!!!!! Ningekuwa na namba yako ya simu haki anani ningekutumia vocha uweke kwenye kimodem chako umalizie; imeishia wapi sasa??????????? Hata mimi yalinikuta ila hii ni nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
bab kubwa!


ah kwa kweli jamaa walipomfikisha kwao wakahakikisha she was fine and safe then wakamchana kuwa uhusiano umekufa kwa wao wooote.aliliaaa mpaka watu wakaanza kujaa wakidhani ni msiba. kilichonifurahsha jamaa wanaendelea na urafki wao kama kawa na wanasema wangelikuwa ni wajinga mara mia kama wangegombana wakat demu alikuwa anawamix.
Mungu akitaka kukuumbua anaweza kwa kuwa najiuliza kwa nini demu akaamua kupelekwa na gari hadi pale kw mshkaji wangu? au ndo kujisahau kwenyewe? yan maswali kibaooo
 
Haka kastori kama ka kwenye mivie hivi yaani kuanzia na scene ya kwanza ya kusubiri kuongea na tigo................Well mtunzi mzuri lakini jitahidi
 
Mi naona hata Shikonko ni cha mtoto kwa huyu Best!



ha ha ha.Unajua kaka nashndwa niwakomvis vp wana JF waamin kuwa hii ishu si HADITHI. ni tukio la kweli ila may be mtiririko nimeuweka kihadithi labda.Nimeandika KAMA MOVIE kwa kuwa najua syo muvi .Ishu true
 
Back
Top Bottom