Msichana hakuamini alichokiona ndan ya gari:yani kama movie

Ni ucku mtulivu nimekaa kitandan mie na jamaa yangu fulan tunapga stori huku mimi nasubiri muda wa kitu cha sa 4 flan ili nijimwage na mambo yetu ya kuzungumza at cheap rate kwa tgo.

Namwambia mshkaj kuwa nawait muda nizungumze na mpenz wangu ninaempenda na kumuamini sana.Jamaa akanichekii kisha akasema "ni vyema ukamuamini mpenz wako ila syo kwa % zote." nlipomuuliza kwa nin? Akanipa mkasa uliomtokea yeye mwenyewe yapata miez mi3 ilopta. Nanukuu

"nina mpenz wangu nimekuwa nae kwenye uhusiano kwa miaka 7 na mpaka home kwe2 anajulikana kwa mama na ndugu zangu wa karibu. Tatzo ni kuwa amekuwa akinicheat kwa miaka mi3 bila mimi kujua,muda ulipozd kwenda nkaanza kuambiwa na watu kuwa mpenz wangu ananisalit.

Nlipomuuliza dem wangu akaruka futi 100 kuwa hafany ujinga huo.Nkakaa kimya kwa kuwa ckuwa na ushahd ila moyon nkajisemea "utanasa tu mtegoni".Nkaomba dua zangu fulan flan ucku na visimamo ili kumuomba Mungu anionyeshe ukweli.Aisee Mungu si kitwana kondo, jk au jairo.

Ukweli nkaja kuupata.Tukaendelea na uhusiano simu kwa sana na kungonoana kama kawa.Cku 1 akaniambia kuwa atamletea zawad mama mkwe(mama yangu mzazi) nyumban kwetu.

Ilipofka hyo cku kwel akaja amepakzwa kwnye gar aina ya NADIA.Mbele yeye na jamaa flan ambaye nilisoma nae primary na huwa tunawasiliana kupitia BBM na Facebuk.Siti ya nyuma kakaa dem flan ambaye simjui hapo nkahs jambo.... dem wangu akashuka garin wale alokuja nao hawakushuka.Nkataka kumpa hug akakataa kwa kisingizio kuwa ni mbele za watu.Akaenda kumpa mamayangu zile zawad alizomwahdi.Nkamuuliza kiutani "umepakizwa mbele!?Ndo jamaa anayeniibia vyangu au?"

noo beb huyu ni jiran yangu tu amenipa lift na yule aliekaa nyuma ndo demu wa jamaa" .Kengele ikagonga tena kichwan kuwa inawezekana vp jamaa amweke mpenz wake nyuma af we mwomba lift uwekwe mbele?

Nkaendelea kuhoj "kwa hyo yule demu garini ndo anaitwa P?(jina la mpenz wa jamaa mwenye gar na alintajia ktk mawasilano yetu kupitia fb).Demu wangu hakujibu kitu.Ila akaondoka na uso wa huzun.Nkashangaa ila nkapotezea.

akaingia kwny gar akasepa.Hee kumbe kweli mchz mwenye gari ndo ananilia vyangu na demu wangu kumbe kawivu kalimshka kuskia jina la P.akaenda kumhoj jamaa kuhusu huyo P.

Ucku jamaa akaanza kunirushia lawama kuwa kwa nin nampeperusha ndege wake?nkamuuliza jamaa kwan huyo dem ni nan yake na alimwambia anapeleka zile zawad wap?"yule ni mpenz wangu kwa miaka mi3 na alisema anakuja kumpa zawad ANTI yake"jamaa akanijbu.

Dah m2 mzima nkatetemeka kwa hasira na nkamweleza jamaa kuwa bas yule ni mpenz wangu na tuna miaka 7 ya uhusiano"jamaa hakuamin ila akaniomba tukutane kesho yake ili kuoneshana ushahdi wa mesej kwenye sim zetu.

Tulipokutana na baada ya kuoneshana ushahd tukapanga mi niingie kwny gari yake nizime simu yangu kisha nkakae sehem ya nyuma ya gar nipaache wazi pale kweny sit ya kati.nkafanya hvo kisha tukasogeza gar mpk nje ya nyumba anapoish "mpenz wetu".Jamaa kampigia cmu demu akaja garin kwa mabusu meengi.

Jamaa akaanza kuondoa gar huku alimuhoji "beb hv zile zawad ulimpelekea nan yako na yule jamaa aliyetaka kukuhag ni nan yako?".Aliyetaka kunihug ni mtoto wa anti yangu ambaye zawad nlipeleka kwa mama yake.Na cjaonana na nae kwa miaka miwili,sasa nafkir kutaka kunikumbatia ni furaha ya kuniona plz beb wangu usnifkrie vby"kumbuka mie npo nyuma naskia yote na demu hakuweza kuniona bcoz ilikuwa ucku na taa za ndan ya gar 2lizma.

Bas 2kaendelea kufka mbele jamaa akastop gar alaf akam2ma vocha "demu we2".

Demu alivotoka jamaa akaniambia nitoke nilipokuwa nije kulala siti ya kati.Demu akarud garin na ile vocha 2kaendelea kuzunguka na gar.Jamaa akamwambi demu"beb naomba urudie yote ulosema huku jamaa nyuma yetu akiskia" demu kugeuka akanikuta namtaza.

Alipga yowe kalii akijua 2nataka kumdhuru.Alidata akaruka nje ya gar akaumia uso...2kamfata na kumrudisha kwao...Unataka kujua kilichotokea?Kamodem kangu kameishiwa ela.

HAPPY NEW YEAR WANAJAMVI.

Du kweli hii noma, ndo maana ukibeba ucku vinakimbilia kuwasha taa na kuangalia nyuma! bonge la story tangu niijue mmu!
 
Hii imekaa kama hadisii vile za uwongo.

Mana kupenda miaka saba si mchezo.

Watu siku hizi kujua demu wake in out ni week moja au mbili itakuwa maximum, wewe umechukua miaka saba!!!!!

We ata ya uongo unaweza kutunga? nyie ndo mnaoandika za ukabila umu!
 
All stories comes from the minds of people. Deeds comes from the minds also. The mind itself is what a person is capable of doing provided there is a reason and capability of doing it. Usishangae you could be related to some one with evil mind on you,ila basi anakosa nafasi na pengine huyo anaogopa jicho la tatu kutekeleza. So my dear learn from the stories of others and stop ignoring, it might help you one day!

afadhal umwambie askie.Huu mkasa ni wa kwel na umemtokea rafk yangu anasoma chuo cha bandari.Watu wanadhan kila ki2 ni urongo
 
Kwa kweli ni mkasa wa kweli na ndo mana kwenye heading nkaweka neno KAMA MOVIE .Imekaa kistor zaid ila amini usiamin ni tukio lililotokea haizd miez mi 3 nyuma.Jamaa kanionesha hadi huyo demu na kilichonifurahsha jamaa wameendelea na urafk wao demu wamempga kibuti
 
Kamuuzie Kanumba atengeneze movie labda utapata cha juu.....kama kweli au urongo usiache ipite hivi hivi...fanza utengeze picha

Kaka nlikuwa nafkiria hlo tatzo huyo kanumba kumpata ishu.Niconect nae
 
Back
Top Bottom