Msichana atembea matiti nje mitaani! Asema wanawake wana haki ya kutembea vifua wazi kama wanaume

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Moira Johnston, (kulia) hapa akiwa na rafiki yake maeneo ya Union Square NYC. Wote wakiwa matiti nje

Msichana anayeitwa Moira Johnston ameonekana akitembea matiti nje, bila blouse wala sidiria (topless) katika jiji la New York, Marekani. Moira amethibitisha kwamba anatembea matiti nje kuikumbusha jamii kwamba wanawake wana haki ya kutembea vifua wazi kama wanaume. Kama wanaume. “Natembea topless kuhamasisha hiyo ni halali kwa mwanamke kuwa topless mahali popote ambapo wanaume wanaweza kuwepo bila kuvaa mashati.” Moria aliendelea, “Nimekuwa natembea topless kwa muda wa wiki kadhaa sasa. Nimepata maoni mnyanganyiko.” Alisema kwamba watu wengi wako poa ila kuna wengine wanashangaa sababu hawajazoea kuona wanawake wakitembea matiti nje. Moira anapenda kubadilisha hilo ili iwe kawaida kwa wanawake kutembea matiti nje. Angalia picha kadhaa za Moira akitembea matiti nje mitaani katika ukurasa huu.
 
Moira akijivinjari mitaani New York


Moira Johnston akijivinjari matiti nje mitaa ya New York
 
Haya wabongo muige sasa.......
Mwana dada kawarahisishia sasa.......!!!
 
OMG!! ile heshima,utu,ustaarabu etc wa binadam ulishazikwa kitambo
 
OMG!! ile heshima,utu,ustaarabu etc wa binadam ulishazikwa kitambo


Wa huku kwetu wanavibanabana na kuyaachia nusu nusu.....!!
Waige basi na hiyo........!!!
Sasa hivi tutaanza kukamatana kama kuku...!!!!
Aaaiseeeeeeee.......
 
Haya wabongo muige sasa.......
Mwana dada kawarahisishia sasa.......!!!

Nafikiri yeye ndio kawaiga waswazi, ila kuna ukweli wabongo watamuiga soon; maana kila anachofanya mwenye ngozi nyeupe, hatujiulizi vizuri; twaiga tu hata haya manguo yanayochochea joto! LOL
 
hata bendera ikiwa inashushwa hutokea juu kwenda chini...nina uhakika huyu kitakachofuata ni kutembea bila nguo ya chini
 
Kama angekuwa anajua angeenda kuishi New Papua Guinea..
Kule wanafunika vipochi tu..kwingine wanasasambua..
 
"Wanawake wanaweza kutembea vifua wazi (mbele!?) kama wanaume!". I like dhati!
 
Haya matiti yetu yanavyovutia jamani! Tukiyatembeza nje si mtagonganisha magari na mtakuwa hamfiki mnakoenda? Msitujaribu, hapa tu tunaonyesha cleavage mnadata! Tukionyesha chuchu itakuwa vurugu aisee!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom