msichana anaweza kujifunza kupenda?

Ni nani kakuambia atakuoa? Bado hata hujampenda umeshafikiria kuolewa naye? Subiri kwanza umpende. Hayo mambo yakuolewa weka kando. UTALIZWA!!!!!!

its not kwamba kanambia anataka kunioa lakini ndivo navoona na mimi pia sitaki kurush kwenye marriage navomuona hana tatizo natamani nimpende but i think my mind inasay yes but immotionally no i mean my feelings ndomaana nimeuliza is it possible mtu kulearn to love? maana nasikia watu wakisema boys hawalearn but gals do,
 
can i please be honest with you??????????ucjidanganye hakunaga mapenzi ya hivyo drop out tafuta umpendaye kwa moyo wako usije ukajuta baadaye......u got that @ LERIONKA???????

blue g, ahsante but naona the guy is gud but my feelings is not there so huwa nasikia people wanalearn to love ndomana nikadhani i can do that, am rush into marriage.
 
What do u want? Kuolewa?
1- Waweza penda asiyekupenda!
2- Waweza pendwa na usiyempenda!
3- Na waweza penda anayekupenda!

1 na 2 ndio malalamiko mengi humu ndani, 3, ni chache waweza bahatika lkn.

Kujibu swali lako, waweza jifunza kumpenda mtu, lkn kama anakudisgust (nafikiri huyo ndicho unachofeel), ni ngumu. Lkn kama unamuona kawaida, waweza jifunza kumpenda.

ahsante i will give feedback
 
Hayo walikuwa wanayaweza mama zetu na bibi zetu tu...we kama humpendi achana nae usije ukampotezea muda wake mtoto wa mwanamke mwenzio.
 
Listen 2ur heart, dnt rush into marriage my dear, u'l regrate
i am not rushing to marriage but was wondering supoz he suggests about marrying me and then still sijamaccept will i learn kumpenda, i admit nilifanya kosa kuwanae ktk mahusiano koz i thot nikiwa nae karibu nitampenda kama baadhi ya watu wanavosema
 
ww, unamkubalije mtu ilhali ndani ya moyo wako hayupo hata kidogo, binti, kama huhamasiki hata akikukiss kwa shavu my dear, endelea kuisubiri miujiza, ulichotakiwa kufanya kuanzia mwanzo kwanza ni kumweleza huyo bwana kuwa huna feelings nae au ungemwambia akupe muda ambao ww ungeendelea kujipima kama uko tayar kuwa nae or not, inaonekana kama uliumizwa ukaamua kumalizia machungu kwa jamaa, angalia my dear, ndoa si mchezo, kuishi na mtu usiyempenda ni bonge la mtihan, mwish, fuata moyo wako
yah siwezi sema sikuumizwa niliumizwa sio kidogo, namm sipendi kufanya the same still hatujafika mbali but wala kueka komitment yoyote lakini namuona yuko namuonekano positive, niliingia nikadhani labda nikiwa nae karibu nitamzoea then nitampenda, but nisipokuwa nae nammis nikiwa nae karibu ooh najifeel my heart isnt there kabisa but in my mind is a gud guy.
 
Nijuavyo mimi kuna kama aina 2 za kupenda:kwanza love at first sight,yani ile vap,ukimuona tu mlengwa b4 hamjaongea chochote moyon ushampa kibali!pili kuna ile ya mazoea,yan,the way mtu unavokuanae karib ktk mambo mengne kbs apart frm love,mnajkuta mnazoeana sana,mnaambukizana baadh ya tabia then automatically mnafall in love!bt hapa naongelea yale mazoea ambayo si kwa malengo ya kuishia mapenzn,yan just inahappen!...kwa maelezo yako,niny hampo ktk any type nlozmention hapo above,so,hakuna mapenz hapo,wala kamwe hayatotokea!just drop him,af try to give urself some time,then utakujampata tu ambae mtapendana ote,all the best!
 
yah siwezi sema sikuumizwa niliumizwa sio kidogo, namm sipendi kufanya the same still hatujafika mbali but wala kueka komitment yoyote lakini namuona yuko namuonekano positive, niliingia nikadhani labda nikiwa nae karibu nitamzoea then nitampenda, but nisipokuwa nae nammis nikiwa nae karibu ooh najifeel my heart isnt there kabisa but in my mind is a gud guy.
pole kwa kuumizwa wangu, jipe mda usirush, nahc bado una feelings kwa aliyekuumiza ndio maana unashindwa kumuaccept huyu jamaa, ila all in all, bado nakushauri take your tym si vizur kufanya maamuz ukiwa desperate baada ya kuumizwa, kama unavyosema jamaa ni gud guy na bado humpend ila unammiss asipokuwepo, inawezekana unaenjoy tu company yake, or ni kwa sabab anakuamnbia kile unachotaka kuckia, think n rethink, usiingie kwenye ndoa kabla hujawa sure na maamuz yako,
 
blue g, ahsante but naona the guy is gud but my feelings is not there so huwa nasikia people wanalearn to love ndomana nikadhani i can do that, am rush into marriage.

dont be fooled,uckimbilie ndoa itakayo kufanya ulie baadaye....ndoa means a lot. tel me utakuwa tayari kumserve kwa kila kitu???????kumwekea maji kumfulia na kumheshimu ikiwa humpendi???????please think twice and dont rush 26 is not a big deal i hope umeniquote!!!!!!!
 
pole kwa kuumizwa wangu, jipe mda usirush, nahc bado una feelings kwa aliyekuumiza ndio maana unashindwa kumuaccept huyu jamaa, ila all in all, bado nakushauri take your tym si vizur kufanya maamuz ukiwa desperate baada ya kuumizwa, kama unavyosema jamaa ni gud guy na bado humpend ila unammiss asipokuwepo, inawezekana unaenjoy tu company yake, or ni kwa sabab anakuamnbia kile unachotaka kuckia, think n rethink, usiingie kwenye ndoa kabla hujawa sure na maamuz yako,

thax sana mmenisaidia
 
dont be fooled,uckimbilie ndoa itakayo kufanya ulie baadaye....ndoa means a lot. tel me utakuwa tayari kumserve kwa kila kitu???????kumwekea maji kumfulia na kumheshimu ikiwa humpendi???????please think twice and dont rush 26 is not a big deal i hope umeniquote!!!!!!!

nimekupata ahsante
 
Just go for your heart, do not rush to the marriage. Maamuzi ya kuingia katika ndoa yasiwe ya kubahatisha, ni mtu ambaye unaishi naye ktk maisha yako yote hapa duniani.
 
Penda unapopendwa Mama, saikolojia yako iko mikononi mwako, kama una uhakika na upendo wa jamaa get hold anto him n u will love him dearely, utapenda unapodhani unapendwa ikawa ni unafiki ukatumika na ukatendwa tena............give love to where u get love
528004_371726739531445_100000823673182_925664_657852194_n.jpg
 
Hapa habari changanya!
Hua hakuna penzi la single side! Should be both.
Ukisema nahisi kutomkuli japo yeye unahisi anakupenda, hapo hamna kitu .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom