msichana anaweza kujifunza kupenda?

lerionka

Member
Jun 21, 2012
11
2
am a new here in jf. nambeni msaada wenu nimeingia kwenye relationship na mtu naedhani ananipenda but moyo wangu hauoneshi kumkubali najitahidi niwe nae karibu labda nitamuaccept lakini sioni dalili but napenda nimuaccept na nimkubali awe mume wangu lakini hata kumbusu kawaida naona shida, watu wanasema msichana anaweza akajifunza kupenda, je nikiendelea kuwa nae karibu nitampenda siku maana naogopa kuolewa nae bcoz nadhani kunasiku nitaboreka nae kama sijamuaccept. naombeni ushauri wenu.
 
Ni nani kakuambia atakuoa? Bado hata hujampenda umeshafikiria kuolewa naye? Subiri kwanza umpende. Hayo mambo yakuolewa weka kando. UTALIZWA!!!!!!
 
Ni nani kakuambia atakuoa? Bado hata hujampenda umeshafikiria kuolewa naye? Subiri kwanza umpende. Hayo mambo yakuolewa weka kando. UTALIZWA!!!!!!

bora umwambie....
 
  • Thanks
Reactions: LD
khaaaa......
Tutawezaje kuujibia moyo wako?

Wewe unadhani unaweza kujifunza kupenda?
 
sasa ilikuwaje ukaingia kwenye relationship na mtu ambaye hayuko moyoni mwako tangu mwanzo? au ulikuwa umetoka kwenye mahusiano mengine ambayo yalivunjika ukiwa unayahitaji na sasa ukamtumia kaka wa watu ili umsahau uliyekuwa naye, kabla hujafika mbali muache kaka wa watu aendelee na maisha yake mana yawezekana yeye amekupenda kweli, baadae atakuja kuumia sana and its not fair
 
usifanye mambo ya kujaribu kwenye rship..kama unaona hata a simpo 'smoochie' kwenye shavu lake ni tabu then sijui wat else r u expectin..utamuumiza kaka wa watu especially kama yupo serious..
 
Shida inayokusumbua ni kuolewa,please dnt rush into this,inaonekana dhairi hujampenda so tuliza moyo wako look critically,
 
hakunaga kujifunza kupenda..ni uongo tuu...
kwa nini ujilazimishe??...piga chini jilengeshe kwa unayempenda..japo unaweza na weye usipendwe pia...ila ukikosa NI-PM mi huwa napendaga kila mtu
 
ww, unamkubalije mtu ilhali ndani ya moyo wako hayupo hata kidogo, binti, kama huhamasiki hata akikukiss kwa shavu my dear, endelea kuisubiri miujiza, ulichotakiwa kufanya kuanzia mwanzo kwanza ni kumweleza huyo bwana kuwa huna feelings nae au ungemwambia akupe muda ambao ww ungeendelea kujipima kama uko tayar kuwa nae or not, inaonekana kama uliumizwa ukaamua kumalizia machungu kwa jamaa, angalia my dear, ndoa si mchezo, kuishi na mtu usiyempenda ni bonge la mtihan, mwish, fuata moyo wako
 
Mimi huwa nadhani Upendo hutokea mwanzoni. Yaani pale ubapotongozwa Upendo nao hudevelop, nje ya hapo, sijui... Watu huwa wanasema utajifunza kupenda, but sifikirii hivyo. Kama hujampenda chapalapa.
 
Hakuna kitu kama kujifunza kupenda.Love is naturally from within not from without!
 
What do u want? Kuolewa?
1- Waweza penda asiyekupenda!
2- Waweza pendwa na usiyempenda!
3- Na waweza penda anayekupenda!

1 na 2 ndio malalamiko mengi humu ndani, 3, ni chache waweza bahatika lkn.

Kujibu swali lako, waweza jifunza kumpenda mtu, lkn kama anakudisgust (nafikiri huyo ndicho unachofeel), ni ngumu. Lkn kama unamuona kawaida, waweza jifunza kumpenda.
 
am a new here in jf. nambeni msaada wenu nimeingia kwenye relationship na mtu naedhani ananipenda but moyo wangu hauoneshi kumkubali najitahidi niwe nae karibu labda nitamuaccept lakini sioni dalili but napenda nimuaccept na nimkubali awe mume wangu lakini hata kumbusu kawaida naona shida, watu wanasema msichana anaweza akajifunza kupenda, je nikiendelea kuwa nae karibu nitampenda siku maana naogopa kuolewa nae bcoz nadhani kunasiku nitaboreka nae kama sijamuaccept. naombeni ushauri wenu.
can i please be honest with you??????????ucjidanganye hakunaga mapenzi ya hivyo drop out tafuta umpendaye kwa moyo wako usije ukajuta baadaye......u got that @ LERIONKA???????
 
am a new here in jf. nambeni msaada wenu nimeingia kwenye relationship na mtu naedhani ananipenda but moyo wangu hauoneshi kumkubali najitahidi niwe nae karibu labda nitamuaccept lakini sioni dalili but napenda nimuaccept na nimkubali awe mume wangu lakini hata kumbusu kawaida naona shida, watu wanasema msichana anaweza akajifunza kupenda, je nikiendelea kuwa nae karibu nitampenda siku maana naogopa kuolewa nae bcoz nadhani kunasiku nitaboreka nae kama sijamuaccept. naombeni ushauri wenu.

Naona uelekeo wako upo kwenye ndoa, na unchokifanya ni kuulazimisha moyo wako umpende huyo anayekupenda, zoezi ambalo umelitolea maelezo kuwa limekuwa gumu. Kumbuka kuwa kwenye ndoa watu hawaendi kufanya majaribio, kuolewa na mtu usiyempenda baadaye huleta cheating na mwishowe mfarakano, ugomvi, kusalitia, kupigana na hata kuuana baada ya kufumaniana. Usiyafanye maisha yako ya ndoa yaje kuwa mabaya badala ya kuwa mazuri yenye amani na furaha.

Nakushauri kama moyo wako umeshindwa kabisa kumpenda, ni bora utafute mwingine mapema. Usijiingize kwenye matatizo yasiyo ya lazima au yanayoepukika.

Pole lakini! :hug:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom