Msichana anatafuta kazi za ndani

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
6,781
1,639
Ana umri wa miaka 24,ni mzaliwa wa mtwarakwa sasa yk MOSHI MJINI, ni mchapakazi mzuri.
 
picha ya nini wakuu, kwani mnataka kumshindanisha na mashindano ya umiss? we amua kama unahitaji au lah
 
M nlikua nashida naye cna ungewka contact zke,kapicha alyopga cku za karbun,na chet cha kuzaliwa coz cunajua maduu weng wanachit miaka?ili nithaminishe,bt kaz kashapata mpaka hapo
 
mi nko arusha,nataka housegirl ila tatizo nyumba yangu inanitosha mi na mamaa tu,je atakuwa tayari kulala sebureni?kama ataweza basi tuma namba kwa pm,kila kitu atapata kama mwanafamilia. pia sio mpaka awe uyo,ata wa arusha wanaweza kupm tusaidiane maisha,sisi sote ni ndugu!
 
Mi namhitaji ila nyumba 2po vijana wakiume watano hatujaoa ila 2taishi nae kama kaka na dada so ni PM tufanye makubaliano
 
HGs wa iringa balaa, Usiku wanatoweka vyumban! Jaman nowdays hawa watu wameingilia na shetwan. Nimekata tamaa nao!. Glory be to God watoto wangu wazima.
 
Back
Top Bottom