Msichana anapoingia officini kwako na kuanza kusema......................

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,001
Mimi ni Mwalimu wa kiume katika shule fulani,Mtoto wa kike kaja ofisini na kunisihi...:Sir Sorry me ni binadamu,,,,nakupenda mwalimu,....Naomba nikimaliza unioe,....::nikamjibu soma usiwaze hayo.....Akaja akanambia kama hunisikilizi nakunywa sumu....:nfj
 
Napenda nimpe jibu ambalo sitamwathiri kisaikolojia
 
Mpe big mission kama kigezo, akishindwa na asikusumbue.
 
Mimi ni Mwalimu wa kiume katika shule fulani,Mtoto wa kike kaja ofisini na kunisihi...:Sir Sorry me ni binadamu,,,,nakupenda mwalimu,....Naomba nikimaliza unioe,....::nikamjibu soma usiwaze hayo.....Akaja akanambia kama hunisikilizi nakunywa sumu....:nfj

Aibu sana, mwalimu mzima unashindwa na mtoto????
 
Napenda nimpe jibu ambalo sitamwathiri kisaikolojia
Wewe mwambie afanye vizuri katika masomo yake ili muweze kupata urahisi wa maisha mtakapooana. Mwambie Division I ni mhimu, hupendi vilaza wanaofeli hovyo, kuwa makini asije kukusakizia umfundishe tuition kwako. Lol!
 
mpige dudu... Joking..
Ina maana nyie waalimi hamfundishwi jinsi ya kuongea na wanafunzi ambao wapo kwenye foolish age?
 
Unataka tukufundishe namna ya kumjibu mwanafunzi wako.......halafu bado unajiita mwalimu..???
 
Mimi ni Mwalimu wa kiume katika shule fulani,Mtoto wa kike kaja ofisini na kunisihi...:Sir Sorry me ni binadamu,,,,nakupenda mwalimu,....Naomba nikimaliza unioe,....::nikamjibu soma usiwaze hayo.....Akaja akanambia kama hunisikilizi nakunywa sumu....:nfj

Wewe mwalimu gani wewe? Hukujifunza saikolojia za watoto kuanzia tumboni hadi teens? Mpaka na watu wazima? Nakuambia ningejua jina lako na shule yako ningekupeleka Wizara ya Elimu wakufute kazi!!! Unakuja kuuliza hapa swali kama hili? Rudi shule upya ukasome saikolojia.
 
Angalia asiwe ametumwa, yawezekana una historia mbaya labda wanataka wakunase.
 
Walimu wa voda fasta hawa. Hivi kweli Mwalimu uliyefundishwa ukafundishika unaweza kuja hapa kutuuliza swali kuhusiana na hili. Labda utuambie na wewe unavutiwa na huyo binti, kwa hiyo unataka tukuambie go ahead.
 
Ungeangua kilio na kumuambia utamsemelezea kwa mwalimu mkuu, manake ana mpango usipate walau diploma ila ukaishie jela bila dhamana wala parole.
 
Mimi ni Mwalimu na saikolojia ninaA,Marangu teachers2008.Nimetumia science methods ila naomba philosophy yenu zaidi mana najua mna majibu zaidi kuliko vitu nlivyosoma
 
Na nimeileta hapa mjue wanafunzi wetu walivyo na ujue mwanao yukoje..Je akienda kumwambia shalobalo atamwacha.Malezi ni yetu wote...Ndo mana nawashirikisha wenzangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom