Msichana akivaa hivi unamchukuliaje?

Mi nadhani wanawake wanapenda sana kuruka ukuta ndio maana wanaruhusu hako kamkanda ka chupi kawakune panapo tundu. si vingine
 
those are white chicks.. I guess its very normal for them to dress up like that... actually u have seen nothing...sI dont think wasichana waki TZ wanavaa hivyo (I'm just assuming since I am not living in TZ)

Continue assuming; Bongo ya sasa kama ulaya tu.
Samahani NOname, nafananisha na kuna mtu aliwahi kuulizia kama bongo kuna supermarket, alidhani bado tunategemea tandale, kwa manyanya and the siblings.
 
Inategemea yupo mazingira gani, kwa mfano ukienda night clubs wanavaa vibaya kuliko hata hiyo mnayoona na huko wanakubalika. Ila katika mazingira ya kawaida ya mtaani ni aibu

Unajua mimi nashindwa kuelewa, au sijui ndo ushamba wenyewe! kwani mtu ukienda hata huko night club ndo inatakiwa kuvaa ovyo? mbona wakaka huwa hawavai ovyo? kwa kweli mimi huwa wananikwaza sana. kwani ukizaa jeans yako safi au min skirt unakuwa hupendezi mpaka uwe nusu u**i? au muziki huwa hauchezeki? halafu hao hao tunaowavalia ovyo baadae wanasema hit and run!
 
Continue assuming; Bongo ya sasa kama ulaya tu.
Samahani NOname, nafananisha na kuna mtu aliwahi kuulizia kama bongo kuna supermarket, alidhani bado tunategemea tandale, kwa manyanya and the siblings.
aha kwahiyo nawatu wamekuwa kama wazungu?... mila na desturi ziko hatarini... there is nothing wrong in adapting modern life style but we shouldnt lose our identity because thats what make us unique... Myself am trying to adapt a modern life style but I am keeping within my values...
lakini sio vizuri kunifananisha najua kama bongo inakwenda mbele
 
The silent Generation are the people born before 1946,
Baby boomers are people born between 1946 and 1959,
Geneation X are people born between 1960 and 1989,
Generation Y are people born between 1990 and now.
Why do we call the last one generation Y?
I didnt know , but a cartoonist explains it eloquent below, ...........leaned something new today.
download
 
Jamani mimi kwenye kuvaa sitaki kusema kitu, unajua tunatoka katika familia tofauti sana na malezi tofauti. siwezi mlaumu yule ambaye yale ndo malezi yake ila kama ningejua mvaaji amefikiria nini mpaka kavaa ningesema kitu. kuna mtu anaweza akawa home na mzazi akavaa vile je anamfanyia business babake? hayo ni alezi ila a,bao hamkulelewa hivyo msiige maana nyie mtakuwa mnatangaza business. nchi yetu sasa hivi inaenda kasi tutaona mengi saaana tukipewa uhai.
 
Kusema kweli mi naona yuko poa tu huyo demu, kapendeza sana, kavaa kitu cha fasheni na ametupatia sisi wengine nafasi ya kukiona, hakuna ubaya. Kwani unapoona hiyo unapoteza nini? Mwache ajifurahishe alivyo, kama inakukera usiangalie.
 
Poleni wadogo zangu, lawama ziwaendee wanaume kwani wao ndio chacu ya hawa kina dada kuvaa hivi. Demu akijistiri maungo yake anaonekana mshamba ndio hao wanao fikia 32 yrs bila waume. BAD BOYS
 
Back
Top Bottom