Msichana akivaa hivi unamchukuliaje?

Man uko nje eeh! Basi TZ madem wanavaa hivyo well hata wake zetu! Siye wengine tunapenda tu hayo maonyesho! Asa ufanyaje nahuko kwenye public transport ndo balaa! Siku ikipita hujaona unamshukuru mungu!
ooow thats pity kwakweli so things have really changed there... mmmh anyway I dont think a well respected woman/girl would dress up like that in public... its totally inappropriate...
so what are they looking for? do they enjoy unnecessary attention or they love to be harassed ... ?
 
Hebu acheni mambo yenu nyie kwa kuna ubaya gani mtu akivaa hivi?? Mbona nyie wanaume mnavaa milegezo kata K sijui miboxer nje nje na hatulalamiki??? wengine hata hawavai hizo boxer akiinama kidogo au kasuruali/jeans kakishuka zaidi basi mambo yote nje nje. kila kitu kibaya mna kiimpose on us women. Unless mmeseme kuonekana kwake ndo kubaya lakini si kuvaa.
The Boss wewe msichana akivaa hivo unamchukuliaje nikuulize swali?? Koz hiyo ni nguo ya ndani just like any other ila tu ni tofauti in design.
 
JS afadahli tu hata uone hiyo 'boxer ya wanaume tmk'

inanichefua sana nikiona makalio ya mwaume.....afu siku hizi naona wanajiachia kabisaaa, sijui wanaona fahari gani
they should know kwanza hakuna mvuto wowote kwennye makalio yao.....kweli nachukizwa na wanaume wanaoonesha nguo za ndani au makalio yao...............disgusting!!!!!!!!!!
 
kwakweli mie huwa nawacheka sana wanaume wanovaa those skinny jeans or low waist jeans (whatever they call it).... mmewaona wanavyo tembea utasema wanataka kunya... frankly nothing cool about those jeans and their underpants :yuck:
 
Inategemea na mazingira kama wengine walivosema. ILa wengi wao wapo kibiashara sana.
 
noname hapa sidhani kama tatizo ni kwenye hizo nguo za ndani zenyewe....tatizo ni kuzionyesha but wanaume wakumbuke kuwa tatizo hilo ni kwao pia. mwanamme mtu mzima kutuonyesha nguo yako ya ndani ni disgusting
 
Aghaaaaaaaaaaa, mi ndio maana animeamua kuokoka kipande ya chini.Nimechoka na michaluko hii isiyojua kuna Mungu.
 
baelezeee mpwa!! Tz is not in its own world that huu upepo haujapuliza pande hizi??

kuvaa sioni tatizo ila kuiacha nje hivo ndo kunanipa utata.

unamuonesha nani na kwa makusudi gani hasa? kwani hujisikii kuwa umekaa uchi? kijibaridi hakipiti kwenye uwazi hta ukashtuka?

huko nu kutojithamini au kutojua thamani ya mwili wako kama mwanamke!!!

mwanamke mwenye kujiheshima daima atajisetiri maungo yake (ila sikuhizi naona hkuna maungo ya siri, yote public tu)

Hapo kwenye red umenena vema kabisa!
 
JS afadahli tu hata uone hiyo 'boxer ya wanaume tmk'

inanichefua sana nikiona makalio ya mwaume.....afu siku hizi naona wanajiachia kabisaaa, sijui wanaona fahari gani
they should know kwanza hakuna mvuto wowote kwennye makalio yao.....kweli nachukizwa na wanaume wanaoonesha nguo za ndani au makalio yao...............disgusting!!!!!!!!!!

Huwa natamani kama ningekuwa na mandate ya kuwacharaza viboko wavulana wanaovaa milegezo na kuacha boxer nje. Yaani huwa inanikera kupita maelezo. Ni dalili za ushoga, I dare to say so!
 
Inategemea na mazingira kama wengine walivosema. ILa wengi wao wapo kibiashara sana.

Binadamu wote ni sawa, tunatofautina rangi za ngozi tu. Kwa hiyo hata maadili ambayo ni ''generally accepted'' pia nayo yalingana kwa wanadamu wote bila kujali nchi wanayoishi. Ila tu uhuru wa kutembea uchi au nusu uchi unatofautiana kati ya nchi moja na nyingine, japo kwa ujumla wake, kutembea uchi hadharani ni kinyume cha ustaraabu wa binadamu.
 
CHUPI+HIYO.jpg

JICHUPI.bmp

UNAVAA JEANS NA KITOP KIFUPI UKIKAAA MAMBO YOTE HANUUU..

UTAM DEFINE VIPI?
UTAMCHUKULIAJE??????

Bora hata hawa hizo g-strings zao angalau ni safi. Wakwetu huku kwenye madaladala unaweza kutapika, g-string chafu na mdada mwenyewe naye mchafu halafu anaianika hadharani. Disgusting!
 
Huwa natamani kama ningekuwa na mandate ya kuwacharaza viboko wavulana wanaovaa milegezo na kuacha boxer nje. Yaani huwa inanikera kupita maelezo. Ni dalili za ushoga, I dare to say so!
nina mtazao kama wa kwako
hainiingii akilini mtoto wa kiume 'proudly' showing ur boxer!!! maana si kwamba imeonekana bahati mbaya, makusudi mazimaaa!!!
 
Mhhhh, mimi ningekuwa na lakusema kama hayo mambo yangetokea enzi zetu. Enzi za Mwalimu na wajamaa wenzake wamemzunguka.

Kwa sasa naona ni kawaida tu. Na hao wadada wanaweza kuwa na maadili mazuri kwenye level ya watawa. Kwa hiyo siku hizi nawachukulia kawaida tu. Kama huwezi kupambana na upepo basi ufuate. Hatuna jinsi, upepo unatupeleka kwa nguvu na kasi ya kutisha. Naamini hapo hakuna biashara yoyote.
 
hana hofu ya Mungu ndani ya moyo wake
hivyo ameamua kumtukuza ilibilsi
na kuonesha kwamba amelelewa hvyo
 
Back
Top Bottom