Msichana akivaa hivi unamchukuliaje?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,108
115,837
CHUPI+HIYO.jpg

JICHUPI.bmp

UNAVAA JEANS NA KITOP KIFUPI UKIKAAA MAMBO YOTE HANUUU..

UTAM DEFINE VIPI?
UTAMCHUKULIAJE??????
 
That's plain 'ol nasty. That string is going through the crack...now picture she just took the number two and she didn't wipe herself real well....that means there'll be shit crumbs on the part where the string is in the crack. Extremely nasty.
 
Matangazo ya biashara, si lazima ununue bidhaa, ukinunua huwezi kulaumu matangazo.
 
That's plain 'ol nasty. That string is going through the crack...now picture she just took the number two and she didn't wipe herself real well....that means there'll be shit crumbs on the part where the string is in the crack. Extremely nasty.

Tehe tehe tehe
 
Accept???

Hiyo ni "promotion" au "invitation to treat". Yaweza kuwa ni tangazo kwa ajili ya hilo vazi lenye umbo la herufi "V" huko ndani. Hakuna zaidi

sijaipenda hata kidogo Ngoshwe ndo maana nimekosa cha kuandika .
hayo ni matangazo ya biashara ..kwani unavaa hivyo ili iweje????
 
sijaipenda hata kidogo Ngoshwe ndo maana nimekosa cha kuandika .
hayo ni matangazo ya biashara ..kwani unavaa hivyo ili iweje????

Vijana wanaita Kata "K"..., kumbe ukichungulia huko ndani mh..unaweza kujuta kujuta...lol!..

I wish Mungu angekuwa nacharaza viboko papo hapo wale ambao wanawakwaza wengine kwa kujifanya wamevaa kumbe wanaigiza tu kwa maonyesho ya vivazi...

Nakumbuka zile enzi za Mwalimu wakati Simba wa Vita (R.I.P) amekamata "UPINDA", ilikuwa ni kanuni ya jumla kuvaa "maksi" kwa kina mama na ukikutwa umepiga mambo ya kukwaza unakura bakora za "mgambo" mpaka ukavae uzuri. Lakini sasa wanatutungia sheria kali za kuzuia ubakaji pasipo kuweka mazingira ya kuzuia vishawishi kama hivi..tufuwile Mnyambara...

vinginevyo tungerudia maisha yetu yaleee ya "wahazabe" au "Wa Amazonia" kuwe uchi kabisa manake ukiwa bichi hata ukiona "bikini" inakatiza mbele yako huna msisimko kwa sie "marijali" kuliko ukiona "half necked" kama haya ya mabinti zetu wa .com.
 
That's plain 'ol nasty. That string is going through the crack...now picture she just took the number two and she didn't wipe herself real well....that means there'll be shit crumbs on the part where the string is in the crack. Extremely nasty.

shit,crumbs or whatever,nothing is wrong here,its just a matter of moving with the times.We men should be gratefull for getting at least an eyefull at gods gift to humankind
 
Not wifey material.
Hit and run, as fast as u can. No looking back
.
 
Labda awe chumbani kwake vinginevyo kakosea kuvaa,ndivyo ninavyomchukulia.
 
nyani ngabu .....nasty ni hiyo kuwa hajajisafisha uzuri na hiyo nguo ya ndani ikapita? nguo za ndani za aina hizo zote ni nasty ? au kuvaa nguo za ndani zozote zikaonekana ni nasty?

Upande wangu kivazi hicho sioni kaa ni nasty, inaweza kuwa si comfortable kwa kuvaa hasa na denim na safari ndefu na hasa kukiwa na joto ( yaweza sababisha michubuko), but sioni u nasty wake kama mtu anataka kukivaa lets say nyumbani kwake ambapo atakuwa amekaa kitako muda mrefu na full kiyoyozi :D

back to the mada, nikiona msichana kavaa hivyo nafikiri

1: maskini anapuuza maandiko ya mungu
2: utoto unamhangaisha akikuwa ataacha
3: maybe yupo anamtega mtu
 
Inategemea yupo mazingira gani, kwa mfano ukienda night clubs wanavaa vibaya kuliko hata hiyo mnayoona na huko wanakubalika. Ila katika mazingira ya kawaida ya mtaani ni aibu
 
those are white chicks.. I guess its very normal for them to dress up like that... actually u have seen nothing...sI dont think wasichana waki TZ wanavaa hivyo (I'm just assuming since I am not living in TZ)
 
Man uko nje eeh! Basi TZ madem wanavaa hivyo well hata wake zetu! Siye wengine tunapenda tu hayo maonyesho! Asa ufanyaje nahuko kwenye public transport ndo balaa! Siku ikipita hujaona unamshukuru mungu!
 
baelezeee mpwa!! Tz is not in its own world that huu upepo haujapuliza pande hizi??

kuvaa sioni tatizo ila kuiacha nje hivo ndo kunanipa utata.

unamuonesha nani na kwa makusudi gani hasa? kwani hujisikii kuwa umekaa uchi? kijibaridi hakipiti kwenye uwazi hta ukashtuka?

huko nu kutojithamini au kutojua thamani ya mwili wako kama mwanamke!!!

mwanamke mwenye kujiheshima daima atajisetiri maungo yake (ila sikuhizi naona hkuna maungo ya siri, yote public tu)
 
Back
Top Bottom