Msichague chama, chagueni mtu???

Taifa_Kwanza

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
443
86
Chama cha Democrasia na Maendeleo kilitumia maelezo haya wakati wa kujinadi kwenye uchaguzi
mkuu wa 2010.Je, kilikuwa kina maanisha nini?

1. Kwamba watanzania wanakitaka ccm ila hawawaki wagombea wake, hivyo wakipambanishwa
wagombea basi ccm wangeshindwa?

2. Kwamba Watanzania hawakipendi chadema ila wanawataka wagombea kutoka chama hicho?
 
That make sense hasa kwa mwananchi wa kawaida asiye na chama anayejali ubora wa maisha yake.ukiona mtu yuko kwenye chama ambacho hakina mvuto kwako lakini ukimsikiliza binafsi you get that sense of hope,then vote for him/her.
 
Back
Top Bottom