Msiba

Somoche

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
6,134
6,965
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara bwana Bartholomeo Machage Amefiwa na dada yake aliyekua amelazwa Kwenye Hospitali ya Aghakhan....msiba uko Mwananyamala na mwili utasafirishwa kwenda Tarime kwa mazishi siku ya ijumaa...bwana ameto na ametwaa jina lake lihimidiwe sana...
 
Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Mara bwana Machage Bartholomeo Machage amefiwa na dada yake Anna Machage leo katika hospitali ya Aghakhan,Msiba uko Mwnanyamala na taratibu za kusafairisha mwili kwenda Tarime zinafanyika...bwana ameetoa na ametwaa jina lake lihimidiwe..
 
Pole nyingi kwa familia hii. Mungu wa Mbinguni awafute machozi na awafariji kwa jinsi ya kimungu.
 
kila mwanafamilia wa mwanachadema ana nafasi kwa Mungu tuwaombee hawa wenzetu migamba sisi tayari Mungu kashatuangalia
 
Back
Top Bottom