Msiba wa Prof Samuel Steven Mushi

mwabaluhi

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
561
92
Wakuu nimepata habari kuwa Profesa Samwel Mushi wa Idara ya Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam amefariki dunia.

Source: chanzo cha habari idarani hapo hapo
 
Wanajamvi,

KWa huzuni kubwa napenda kuwaarifu msiba wa Prof Samuel Stephen Mushi, mwalimu wa muda mrefu wa Idara ya Sayansi na Elimu ya Siasa wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam. Itakumbukwa kuwa Prof Mushi amewahi kutoa mchango sana katika masuala ya Siasa akifundisha, pia akitoa ushauri wa mambo mbalimbali yahusuyo siasa ya Tanzania. Mara ya mwisho kumuona alikuwa akitoa maoni katika kituo cha Television juu ya Rostam Azizi na CCM kujivua gamba.

Msiba upo kwake Regent Estate njia ya kwenda Mikocheni Hospital nyumba ya 3 kulia baada ya kuingia lami ya kwenda hospital ukitokea Victoria.

Mimi binafsi nimegwaya, nimeguswa na kuhuzunishwa sana na msiba huu.

Nawasilisha!
 
RIP Prof. Mushi
Poleni wafiwa wote
Mimi kama mwanafunzi katika idara yako nitakukumbuka sana
Amen
 
Very very sad news, what a loss? R.I.P Prof.

Nilimuona mara ya mwisho kwenye TV aki-comment kuhusu kujivua gamba kwa Rostam Azizi.
 
Wanajamvi,

KWa huzuni kubwa napenda kuwaarifu msiba wa Prof Samuel Stephen Mushi, mwalimu wa muda mrefu wa Idara ya Sayansi na Elimu ya Siasa wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam. Itakumbukwa kuwa Prof Mushi amewahi kutoa mchango sana katika masuala ya Siasa akifundisha, pia akitoa ushauri wa mambo mbalimbali yahusuyo siasa ya Tanzania. Mara ya mwisho kumuona alikuwa akitoa maoni katika kituo cha Television juu ya Rostam Azizi na CCM kujivua gamba.

Msiba upo kwake Regent Estate njia ya kwenda Mikocheni Hospital nyumba ya 3 kulia baada ya kuingia lami ya kwenda hospital ukitokea Victoria.

Mimi binafsi nimegwaya, nimeguswa na kuhuzunishwa sana na msiba huu.

Nawasilisha!
Huyu ni baba yake Susan Mzee aliyepo UK.Pole Susan,mdogo wako Charles pamoja na wanafamilia wote.He was a great person.We will definetly miss him.
RIP Professor Samuel Mushi.
 
Poleni wafiwa,chanzo cha kifo ni nini? maana umeusisha kifo chake na ku-comment kwa rostam aziz kujivua gamba au kuna mkono wa R.A?
 
I am very shocked by this news Prof. Mushi is gone forever ohhh God....RIP prof we will remember you forever.
 
jamani ni kweli???nini chanzo cha kifo chake?ni juzi juzi tu nilimuona kwenye tv kuhusiana na mambo ya rostam kujiuzulu...dah!poleni sana wanafamilia hasa mwanawe Charles ambaye nilisoma nae chuo!may he RIP.
 
Back
Top Bottom