Msiba wa Mwangosi: Rais Kikwete ametoa Rambirambi?

mh, mi nashawishika kuamini kuwa labda kuna mkono wake???????......mh! sijui! ebu tungoje tuone km kutakuwa na huo ubani.....mh! hali tete nchi hii,mi sina hamu!!
 
Nafikiri JK hilo lime kwama kohoni, maana inaonekana ana subiri kupewa maji ameze kwanza ndio atatoa salamu za rambirambi.
 
JK angekuwa mjanja angezuga kushughulikia msiba ule iliaonekane kuwa hakuhusika, na kuwa ile ilikuwa bahati mbaya kwa vijana wake, ila kwa kukaa kinya maanake amepigwana butwa kwamba atatokaje kimasomaso na yeye ndio aliwatuma kutumia nguvu kiasi kile eti kuwatisha wananchi, sasa ametishika mwenyewe hata kuzuga ameshindwa. yale ya ULIMBOKA alijaribu kuzuga eti yeye hahusiki na kama kuna mtu serikalini amehusika basi aulizwe ametumwa nanani, lakini baada ya kutajwa muhusika kuwa nikijana wake akaamua kumfungia gazeti mtoa taarifa. Hiyo vilevile inaonyesha kuwa alihusika kumtuma huyo kijana.
 
JK ametoa rambirambi misiba mingi nchi hii na mingine alihudhuria:1. Kanumba,2. Sheikh Yahya,3. Meles Zenawi,4. Balozi wa Marekani Libya (rambirambi imetolewa jana),5. Ajali ilitokea juzijuzi Mkoani Mara,6.......Lakini katika msiba uliosababisha hata mabalozi wa nchi za nje kutoa tamko, JK yeye amekaa kimya!Hivi Marehemu alimkosea nini JK? Au JK anahusika moja kwa moja na kifo hiki mpaka anaona akitoa tamko nafsi itamsuta?Nawasilisha!

kama rais atahudhuria kila msiba basi atakuwa RAIS WA MISIBA.
 
Raisi Kikwete amejizolea sifa ya pekee ya kuwa mtu wa watu kutokana na kushiriki kwake kikamilifu katika shughuli za kijamii hususani misiba.

Pamoja na kushiriki kwake katika maziko lakini pia amekuwa akitoa ubani kwa wafiwa. Tunakumbuka alivyoshiriki kikamilifu msiba wa marehemu Steven Kanumba na kutoa ubani wa mamilioni ya fedha.

Tangu kutokea mauaji ya mwanahabari Daudi Mwangosi, sijapata kusikia ama kusoma taarifa ya salam za rambirambi pamoja na kutoa ubani kwa familia ya marehemu.

Je ukimya huu wa raisi ni dalili za kupunguza mapenzi yake kwa wananchi wake?

Kama kuna yeyote ana taarifa za raisi wetu kutoa ubani ama salamu za rambirambi tufahamishane.

Alishatoa salamu za rambimrambi kwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa kuondokewa na huyo kamanda wao mpiganaji, ninyi 2 hamkufuatilia.
 
JK angekuwa mjanja angezuga kushughulikia msiba ule iliaonekane kuwa hakuhusika, na kuwa ile ilikuwa bahati mbaya kwa vijana wake, ila kwa kukaa kinya maanake amepigwana butwa kwamba atatokaje kimasomaso na yeye ndio aliwatuma kutumia nguvu kiasi kile eti kuwatisha wananchi, sasa ametishika mwenyewe hata kuzuga ameshindwa. yale ya ULIMBOKA alijaribu kuzuga eti yeye hahusiki na kama kuna mtu serikalini amehusika basi aulizwe ametumwa nanani, lakini baada ya kutajwa muhusika kuwa nikijana wake akaamua kumfungia gazeti mtoa taarifa. Hiyo vilevile inaonyesha kuwa alihusika kumtuma huyo kijana.

Teh teh teh, eti aoekane hajahusika, kwani JK alihusika vipi na msiba wa Mwangosi? kwa maana hiyo tuamini kuwa CHACHA WANGWE aliuawawa na MBOWE? kaz kweli kweli. Baada ya President kuona kifo cha Mwangozi kimekuwa mtaji wa watu wakjiimarisha kisiasa akaamua kupotezea. Safi sana JK, siyo kila ngoma lazima mtu aingie acheze, ile ilikuwa ngoma ya wanasiasa, wanaharakati, na wandishi wa habari, JK mtu wa kazi bwana.
 
kama rais atahudhuria kila msiba basi atakuwa RAIS WA MISIBA.
Umeonae, hawa CDM thinker wao wanachokifiria ni majungu tu, JK yupo kikazi zaidi, msiba wa Kanumba ulikuwa wa kitaifa, labda hili ndilo watu tunashindwa kuelewa, Kanumba alikuwa ni bendera ya Tanzania bwana, ilikuwa ikitangaza tanzania ndani na nje ya nchi. JK kukosa tusifananishe kabisa na ule wa kanumba. Hata hivyo, siyo misiba yote inayotokea imkute Kiongozi wa nchi ana nafasi ya kuhudhuria. Na kuhusu rambirambi, lazima mambo mengine yaachwe kama yalivyo ili wenye majungu kama ninyi mpate la kusema jamani ili uwepo utambulike.
 
Katika kifo cha msanii Kanumba alitoa cash Tsh 2,000,000/=

Na hapa kwa Marehemu Daudi hata salamu ya pole ya mdomo hakudhubutu!

Ila kitu ninachoamini nikwmb hakika MUNGU yupo!

Nadhani kutotoa kwake salamu za rambirambi na pia kutokuhudhuria msiba ni ujumbe tosha kwa wenye fikra pevu. Alichopanga na wauaji wenzake hakikufanikiwa, hivyo nafsi inamsuta. Unafikiri angesema nini msibani?
 
Teh teh teh, eti aoekane hajahusika, kwani JK alihusika vipi na msiba wa Mwangosi? kwa maana hiyo tuamini kuwa CHACHA WANGWE aliuawawa na MBOWE? kaz kweli kweli. Baada ya President kuona kifo cha Mwangozi kimekuwa mtaji wa watu wakjiimarisha kisiasa akaamua kupotezea. Safi sana JK, siyo kila ngoma lazima mtu aingie acheze, ile ilikuwa ngoma ya wanasiasa, wanaharakati, na wandishi wa habari, JK mtu wa kazi bwana.

Aisee!!
 
Umeonae, hawa CDM thinker wao wanachokifiria ni majungu tu, JK yupo kikazi zaidi, msiba wa Kanumba ulikuwa wa kitaifa, labda hili ndilo watu tunashindwa kuelewa, Kanumba alikuwa ni bendera ya Tanzania bwana, ilikuwa ikitangaza tanzania ndani na nje ya nchi. JK kukosa tusifananishe kabisa na ule wa kanumba. Hata hivyo, siyo misiba yote inayotokea imkute Kiongozi wa nchi ana nafasi ya kuhudhuria. Na kuhusu rambirambi, lazima mambo mengine yaachwe kama yalivyo ili wenye majungu kama ninyi mpate la kusema jamani ili uwepo utambulike.

hapo kwenye red alitangaza nini
 
Back
Top Bottom