Msiba wa Mwangosi: Rais Kikwete ametoa Rambirambi?

kwani mkulu yupo?? labda amekwenda swatzland kuangalia mabikra watakaoshindana mwakani ili kuolewa na king mswati!

Haujakosea hata neno moja kamanda Tanzania hakuna Rais kuna Rahisi, hamsini hamisini kwa mia. Na pia hataweza kutoa rambirambi kwa Mwangosi maana sio mshirika mwenzao a.k.a FREEMASON MWENZAO. C UNAMJUA KANUMBA TENA? NDICHO KILICHOMPA ILE HESHIMA.
 
Maneno mazito haya kaka, msiba huu umemchukiza na kumuhuzunisha sana mkuu wa inchi, bado anatafakari, hebu tumpe muda, huenda ubani uko njiani

Ww acha kujifanya msemaji wa huyo mpuuzi wako huyo wote ni dhaifu. Anatafakari safari au nyumba ndogo??
 
kwani mkulu yupo?? labda amekwenda swatzland kuangalia mabikra watakaoshindana mwakani ili kuolewa na king mswati!

Unaweza kuwa sahihi cacico, kwani hata mimi sijamsoma magazetini wala kumuona kwenye tv tangu wiki iliyopita, akifanya shughuli za kijamii hapa nyumbani.
 
Last edited by a moderator:
Ameumia mno, anahitaji muda ili afikiri namna nzuri ya kutoa rambi rambi, kifo cha mwangosi kina mambo mengi ndani yake, alikuwa cdm, alitaka kuwahoji ffu wakiwa kazini, hata hivyo, polisi hawakutakiwa kumuua wala kwenda kwa nguvu nyingi.

Nadhani, ni vizuri kwa waandishi kuendelea kuwa bila upande ili wasiwe na conflict of iterest

Kweli, kila mpigania haki ni CDM hata kama hana kadi? Kwa hivi tuamini CDM=HAKI
 
Mh! ni lazima kutoa ubani na tuhuma zote mlizompa? Kwa hili si rahisi mpaka hapo mambo yatakapotulia, nafikiri atatoa tu.

Hata kama tunamtuhumu lakini bado yeye ni raisi wa nchi na ndiye amiri jeshi mkuu hadi 2015 kama Mungu ataendelea kumuweka hai (nami namuombea afike huko). Kwahiyo bado anawajibika kushirikiana na wananchi wake katika shid na raha. Hata kama wateule wake ndio wamesababisha kifo cha Mwangosi lakini hiyo haimpi sababu ya kulivalia miwani ya mbo suala hili.
 
Atakua hajatoka nchi mbali mara afikapo atapewa habari huenda msafara ukanyookea kwa mwangosi kupeleka ubani:nerd:
 
Sidhani kama kikwete anapenda kusikia watu wa mbeya........ngoja tusubiri
 
Raisi Kikwete amejizolea sifa ya pekee ya kuwa mtu wa watu kutokana na kushiriki kwake kikamilifu katika shughuli za kijamii hususani misiba.

Pamoja na kushiriki kwake katika maziko lakini pia amekuwa akitoa ubani kwa wafiwa. Tunakumbuka alivyoshiriki kikamilifu msiba wa marehemu Steven Kanumba na kutoa ubani wa mamilioni ya fedha.

Tangu kutokea mauaji ya mwanahabari Daudi Mwangosi, sijapata kusikia ama kusoma taarifa ya salam za rambirambi pamoja na kutoa ubani kwa familia ya marehemu.

Je ukimya huu wa raisi ni dalili za kupunguza mapenzi yake kwa wananchi wake?

Kama kuna yeyote ana taarifa za raisi wetu kutoa ubani ama salamu za rambirambi tufahamishane.

Kaka naomba ujue kifo cha Mwangosi ni KAZI YA MIKONO YAKE, hivyo hana cha kusikitikia, je unaweza kuna msiba wowote wa hao waliouliwa na polisi amewahi kutoa ubani? Mnikumbushe kama nimesahau!

Halafu Bw. MSAFIRI adui zake wakubwa ni waandishi wa habari hasa wale wanaomkosoa, ingawa ni mtaalam wa KUPIMA UPEPO, upande mmoja anajifanya kuruhusu uhuru wa vyombo vya habari, UPEPO ukikaa hovyo anawanyoosha, angalia hii-Kubenea na tindikali, Kuna yule wa mwanza ameuliwa, mwanahalisi kifungo cha muda usiojulikana, tena kama mnakumbuka Mwananchi walishawahi kupewa onyo wakati ule wa kampeni, Abslom Kubanda yamewahi kumkuta, mlolongo ni mrefu, naomba tuendelee kukumbushana list ndefu ya namna hiyo-karibuni!!!
 
Du,si JK peke yake,mtoto wa mkulima naye yuko kimyaaaaaaaaaaa,halikadhalika bingwa wa kukurupuka bwana NAPE Kakaa kimya.Labda huenda haushangai msiba huu maana RPC Kamhanda alisema anatekeleza kila analoagizwa kufanya ili astaafu vizuri,labda yeye ndo alimtuma
 
ange anzia wapi maana nayeye ni muhumiwa wa mawaji ya Mwangosi pia wanyakyusa bado wana kumbukumbu za mwakyembe na Mwandosya kulishwa sumu huku ulimboka aliking'olewa kucha kwa koleo na vijana wa kikwete sasa ange tia tiu huo pengine angeambulia mawe....
 
Machale yamemcheza, hataki yamkute ya kibaraka wake Nchimbi, chezea kitu ingine si JK, kama huamini muulize Lowassa.!
 
Raisi Kikwete amejizolea sifa ya pekee ya kuwa mtu wa watu kutokana na kushiriki kwake kikamilifu katika shughuli za kijamii hususani misiba.

Pamoja na kushiriki kwake katika maziko lakini pia amekuwa akitoa ubani kwa wafiwa. Tunakumbuka alivyoshiriki kikamilifu msiba wa marehemu Steven Kanumba na kutoa ubani wa mamilioni ya fedha.

Tangu kutokea mauaji ya mwanahabari Daudi Mwangosi, sijapata kusikia ama kusoma taarifa ya salam za rambirambi pamoja na kutoa ubani kwa familia ya marehemu.

Je ukimya huu wa raisi ni dalili za kupunguza mapenzi yake kwa wananchi wake?

Kama kuna yeyote ana taarifa za raisi wetu kutoa ubani ama salamu za rambirambi tufahamishane.

Mkuu hapo umenena kweli Rais wetu ni mkarimu sana katika misiba, mimi nahisi hajapata taarifa mpaka sasa.
 
Walimzomea Nchimbi, je kwa bosi wake ingekuwaje?. Tanzania ni kubwa bwana, Iringa hadi Dar es Salaam ni mbali sana hata simu haziendi kirahisi.
 
Back
Top Bottom