Msiba Wa Mwana JF

Duh, hili ni pigo kubwa kwetu wadau wa JF, Pigo kubwa kwenye Jukwaa la Imani, Pigo kubwa kwako ndugu yetu XPaster.

Ni bahati kubwa hata kupata habari ya kututoka kwa Mpenzi wa Islam hapa JF; ingekuwa mbaya zaidi kuona kimya bila kujua kilichomtokea mpendwa wetu. Xpaster, asante kwa taarifa, japo ni ya kusikitisha. Ubarikiwe!
 
Innalillah wainna ilayhi rajiuun
Taarifa ya Msiba wa MwanaJF

Kwa niaba ya Familia ya Ndugu yetu na mwanachama mwenzetu Aliyekuwa akijulikana kwa jina la Mpenzi wa Islam, wanasikitika kutangaza kifo cha ndugu yetu Mpenzi wa Islam Kilichotokea tarehe 19th - March - 2010.

Marehemu aliuguwa ghafla moyo na akafariki na kuzikwa siku hiyo hiyo, mjini Dar es salaam. Taarifa hizi nimeletewa na Binti yake na Marehemu.

Marehemu alikuwa si Swahibu yangu tu, ila alikuwa ni ndugu yangu na mshauri wangu wa karibu sana. Huu ni msiba mkubwa kwa kweli.
_____________

"Surely Allah takes what is His, and what He gives is His, and to all things He has appointed a time...so have patience and be rewarded." [Bukhari] -
Dhikr & Patience are the most befitting Remedy
[/QUOTE]
 
Poleni sana. tuliobaki tusisahau kuwa, wakati wowote mtu aweza kufa, hivyo tujiandae kila siku. hakuna njia nyingine ya kupata uzima wa milele ila kwa njia ya Yesu Kristo tu, njia zingine kama za kina....... ni za upotevuni/jehanum ya milele. heri wale waliojiandaa ili siku watakapokufa, wafe ktk Bwana. Mungu hafurahii kifo cha mwenye dhambi, lakini yeyote yule aliyemkataa Yesu, hukumu ya milele inamsubiri. mwenye ufahamu na aelewe ninachosema, na ampokee Bwana Yesu kama bado hajafanya hivyo, pengine kesho ndo siku yako. Poleni Bwana ex-paster , pamoja na kwamba ktk thread nyingi tunapigizana mabifu kwasababu ya imani, kwa hili ninasikitika pamoja nawe/and wanajf wote pia. ni msiba wetu sote wanajf..
 
Mbona unataka kupoteza watu!? Anyway kwa niaba ya familia napokea pole yako!
 
Ndjabu da dude....... Sometimes ni bora kunyamaza.
Sidhani Kama hiyo sandwitch unayoitaja ilistahili kwenye thread hii
badala ya kutoa pole unamfanyia dhihaka aliyekufa!
Si dhani Kama dini yako inakufunza hays
 
Inna Lillahi wa Inna ilayhi Raj'oon
Verily to Allah we belong & to him we shall return

Taarifa ya Msiba wa MwanaJF

Kwa niaba ya Familia ya Ndugu yetu na mwanachama mwenzetu Aliyekuwa akijulikana kwa jina la Mpenzi wa Islam, wanasikitika kutangaza kifo cha ndugu yetu Mpenzi wa Islam Kilichotokea tarehe 19th - March - 2010.

Marehemu aliuguwa ghafla moyo na akafariki na kuzikwa siku hiyo hiyo, mjini Dar es salaam. Taarifa hizi nimeletewa na Binti yake na Marehemu.

Marehemu alikuwa si Swahibu yangu tu, ila alikuwa ni ndugu yangu na mshauri wangu wa karibu sana. Huu ni msiba mkubwa kwa kweli.
_____________

"Surely Allah takes what is His, and what He gives is His, and to all things He has appointed a time...so have patience and be rewarded." [Bukhari] -
Dhikr & Patience are the most befitting Remedy

Pole sana mkuu,

may his soul rest in eternal peace.
 
Kazi ya bwana haina makosa,Mungu ailaze roho ya maremu mahala pema peponi AMINA.
 
Da poleni sana wana JF nakumbuka points zake kwenye jukwaa la dini.
 
> Mwanadamu siku zake za kuishi duniani si nyingi
> Mwanadamu alitoka mavumbini na mavumbini atarudi
> Heri wafu wafao katika bwana
> Mungu awape nguvu na matumaini wafiwa
Amia....Amina.....Amina.
 
Nawapa pole ndugu, marafiki, majirani , wana JF na jamaa wote wa Mpenzi wa Islam . RIP
 
Ooh my hilo jina nilikuwa naliona ..nimepata shock baada ya kuona hii post Jtatu hii
RIP -Mpenzi wa Islam tulikupenda lakini mwenyezi mungu kakupenda zaidi
 
Inna Lillahi wa Inna ilayhi Rajiun ... Mwenyezi Mungu atujaalie subira na ampe pepo kwa radhi ya Mtume wetu Muhammad (s.a.w)
 
Back
Top Bottom