Msiba wa mama yake maulid manyala

Gwankaja Gwakilingo

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
1,996
615
Mwanajamvi mwenzetu Amefiwa na mama yake mzazi jioni ya leo huko Tabora tumuombee ndugu yetu Mungu amfanyie wepesi katika tukio hili zito

nawasilisha
 
R I P mama Maulid.......mapenzi ya Mungu yatimizwe.......
 
Back
Top Bottom