Kwa kweli hata nashindwa jinsi ya kuanza inavyotia simanzi!!
Kwa wale waliosoma Chuo cha Mzumbe miaka ya 2004, 2005, 2006, na miaka mingine na wote wenye mapenzi mema, kuna dada anaitwa MANSUETA MBENA alisoma LLB na kumaliza 2006, jana alinipigia simu amefiwa na mtoto wa dada yake, mkubwa tu amezalliwa 70's anaitwa Jenny kwamba amefariki juzi alikuwa anaumwa malaria. Sasa Mansu anafanya kazi mkoani, alipofika kwao tu akanipigia tena kwamba dada yake naye amefariki!!!!!! Yaani hadi mwili unataka kuganda, kwao ni Morogoro. Kwa hiyo kwao kuna misiba miwili na mazishi kwa marehemu wote ni kesho Jumamosi tarehe 14/5/2011 saa 9 alasiri .Wanakaa karibu na makaburi ya Kola na ukienda panda gari za Kilakala shuka kituo cha makaburi ya Kola kulia utaona watu wengi tu kwenye msiba. Jamani wale tulio karibu naomba tuende tukawafariji jamani maana misiba miwili si mchezo! Kweli Mungu AWAPE FARAJA YA PEKEE!!