Msiba udom: Mhadhili msaidizi afariki

Cognitivist

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
1,057
2,092
Mhadhili msaidizi wa chuo kikuu cha Dodoma Mr DEOGRATIUS CAMERIOUS DUZU Amefariki jana tarehe 23/10/2012.

Chanzo cha kifo chake hakijafahamika, ila taarifa za awali zinaonyesha marehemu alianguka ghafla alipokuwa akiangalia mpira kati ya Chelsea na Shkahtar Donestky, alikimbizwa hospitalini lakini kwa bahati mbaya alifariki mida ya saa 10 asubuhi.

Mwili wa marehemu umesafirishwa kwenda kwao morogoro kwa shughuli za maziko.

Marehemu alizaliwa mwaka 1977. Mungu alitoa na Mungu ametwaa jina lake litukuzwe Amin.
 

Attachments

  • Msibani.jpg
    Msibani.jpg
    35.6 KB · Views: 193
Mungu amlaze anapostahili labda alikuwa mshibaki wa Chelsea manake walipata kichapo kikamshtua
 
Shinikizo la damu!! Chelsea walibamizwa akapata presha nini? Ngoja sasa niacha kushabikia Man U! nirudi tu nyumbani kwa SIMBA!!!
 
Daaah shakta donesky mnaona sasa pasi zenu mnato zimeuwa mwalimu wangu..mendacious mwalimu wangu
 
RIP mwalimu wangu ambae haukua na roho mbaya katika utendaji wako wote nilipokua hapo Udom.
 
Back
Top Bottom