Msiba: Pearl amefiwa na Baba yake leo Asubuhi

Pole sana Pearl
Yeye katangulia ila njia hii wote tutaipitia
Mungu akupe faraja ya haraka.
Pole Pearl
 
POleni sana PEarl na familia yako na pia asante Kyabushaija kwa kutupa habari hii ya kuhuzunisha

tupo pamoja kwenye maombi
 
Pole sana Pearl kwa wakati mgumu kwako na kwa familia. Nawaombea faraja wakati huu wa majonzi makubwa ya kumpoteza baba. Ni Mungu mwenyewe tu anayejua kina cha majonzi na kilio kilichowafika. Naiombea roho ya Marehemu rehema na amani ya pumziko la milele. RIP Mzee. Amina.
 
Pole sana Pearl.
Tuzidi kumwombea Pearl na familia wajaliwe moyo wa kubeba machungu ya kuondokewa na baba.

R.I.P baba
 
utatartibu wa michango vipi...siku hizi kuna mpesa...tgopesa...nk..tunamba utaratibu au hata akaunti namba
 
Pole sana Pearl, Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu, R IP baba Pearl
 
Pole sana Pearl i have lost a father as well so i know how it feels, MAY GOD REST HIS SOUL IN ETERNAL PEACE.
 
Mungu aiweke roho yake mahal pema peponi! Amina. Mungu awatie nguv wte ktk familia yenu! 2ko pa1 ktk maombi. Ni kpnd kgum bt amin ktapita! Pole sn.
 
Mungu awapiganie, katika mambo yote.
Awafariji kwa Faraja kuu!!!

Awawezeshe kwa Neema yake katika mambo yote,
Amlaze Mahali Pema Baba yetu mpendwa.
Sisi ni Mavumbi na Mavumbini tutarudi.
 
Pole sana Pearl kwa msiba huu mzito, Mungu akupe nguvu wakati huu mgumu na ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
 
Back
Top Bottom