Msiba: Mwalimu mkuu msaidizi kisutu girls hatunae!

Userne

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
892
124
Kapumzike kwa Amani Mama Angelka Msaki!
Ulitwambia mapema kwamba unayo VITA! Basi Manka maadui zako wamefurahi eti kwa kuona wameshinda! "Kimila" KAMA NI MAPENZI YA MUNGU TUNASEMA AMINA JINA LAKE LITUKUZWE! LAKINI KAMA NI MKONO WA MTU! BASI TUNAKUKABIDHI MKUKI KIGANJANI MWAKO, WENDE NAO UWACHOME! NA USIPUMZIKE HADI UTAKAPO WARUDI! NA IWE HIVYO!
 
alikuwa na vita gani na watu gani?
kama ndivo malipo huwa hapa hapa duniani
RIP
 
Kapumzike kwa Amani Mama Angelka Msaki!
Ulitwambia mapema kwamba unayo VITA! Basi Manka maadui zako wamefurahi eti kwa kuona wameshinda! "Kimila" KAMA NI MAPENZI YA MUNGU TUNASEMA AMINA JINA LAKE LITUKUZWE! LAKINI KAMA NI MKONO WA MTU! BASI TUNAKUKABIDHI MKUKI KIGANJANI MWAKO, WENDE NAO UWACHOME! NA USIPUMZIKE HADI UTAKAPO WARUDI! NA IWE HIVYO!
Eleza kitu kilichoenda shule, siyo unatuacha kwenye mabano!
Japokuwa hiyo habari inaonyesha ni ya kusikitisha sana, mimi nadhani sitaisoma hata ukiileta, maana hapa tu nishanyongea moyoni!
Watanisimulia wengine!
Mama Pumzika kwa amani.
Poleni kwa msiba!
 
habari hii ni ya kusikitisha!lakini ulivyo ileta inakuwa haileweki!!kama kuna kumsema mtu vile!!au kama vile wote tunajua kilicho kuwa kinaendelea huko!!anyway, kwa heri mwalimu kapumzike kwa amani!nyuma yako wanafunzi wako tunakuja!
 
Back
Top Bottom