Msiba Los Angeles - Mtanzania aliyepotea LA, akutwa amekufa!

Oh my God! Have Mercy on us!

Kwa nini binadamu tunakuwa wanyama hivyo? Kama walikosana na mume si wangepeana tu talaka yaishe? Unapoua halafu unaua mama au mzazi ambaye fika watoto wake wataumizwa kwa nini usiwaze kwanza watoto atakao waacha?

Nina imani polisi huko California watafanya uchunguzi wake na haki itatendeka. Huyo dada yake aitwaye Lilian Mgonja aombe kwa sasa apewe custody ya huyo mtoto maana siamini hata ndugu wa hao mume. Tooooo paining!
 
Nawapa pole wafiwa na ndugu wa marehemu lakini pia naomba tufatilie kiini cha chanzo cha ndugu yetu hadi mauti yalipomfika. miezi miwili iliyopita aliuwawa dada mmoja mmalawi poland. Ile stori niliifatilia nikaja kukuta bwana chanzo ni mihangaiko ya maisha. Yule dada alikwenda kusoma UK akawa hakusoma tena akifanya kazi. Visa ilipokaribia kuisha akaamua kufunga ndoa na mzungu. Akawa anaishi na mzungu yule kwa muda. Baada ya miaka kama miwili yule mzungu akaachishwa kazi akarudi zako poland ndio matatizo yakaanza. Kwanza ndugu wa mumewe mzungu walikuwa ni racists wakaanza kumnyanyasa yule dada, wakaja wakakosana na mumewe akamchukua mtoto na hadi kuja kuuliwa baadae. It was a sad story kwakweli but ni mambo halisi yanawakuta ndugu zetu huko ulaya na marekani.

Kisa chengine kilitokea london ijapokuwa yule dada namsifu maana aliweza kupambana na mumewe hadi akatengana nae na kupewa watoto. Kuna dada mkenya aliolewa na mzungu. akawa ananyanyaswa kuitwa pig, African monkey etc. vyote hivyo akiwa ndani ya ndoa na huyo mzungu. Alijaaliwa kuzaa nae watoto watatu. Waliokuja kugundua situation hiyo ni social welfare ambao waliona mtoto ameumia wakamuuliza kimetokea nini ndio mtoto akahadithia yote. Sasa huyu dada alikuwa na bahati maana kusema kweli angeliendea kukaa naye nadhani angelikumbwa na kifo kama mmalawi yule. But sio wote dada zetu wanatoka salama. Ijapokuwa sio wote wanaolewa na wazungu wanateseka but kusema la haki ni wengine wananyanyasika sio wanawake au wanaume.

Kimsingi lifatiliwe hilo jambo ajulikane muhusika kama ndugu ahukumiwe kama mtu wa nje pia hivyo kwani huyo msichana amekufa kifo kibaya (yaani kwenye bin!!!!) dah ni hali ya kusikitisha kwakweli kama ni kweli.

Sina mengi narudia kuwapa pole wafiwa
 
........OOoohhh my God!! It is just horrible for those to die so young............so sad kwa kweli kumfanyia unyama wa jinsi hii binadamu mwezako hata kama alikufanyia kosa la jinsi gani.This is indeed very sad and shocking news. RIP Caroline Mmari.
 
May God Rest Her Soul In Eternal Peace. God please give comfort to the whole family at this tragic time. Abby & Cathy be strong @ this tragic time.
 
Kumbuka ile story ya Mwevano Mwambashi Kupaza, dada aliye uliwa na Peter Kupaza (amabaye ni cuzi wake ,wote kutoka Tanzania ) kwa kucharangwa mapanga na ku wekwa kwenye trash bags na ku wa dumped kwenye river huko Wisconsin ,USA
 
Oh,.. !!.

Mungu amrehemu.

Sijui ni hasira gani watu wanafikia kuua wenzao..this world has'nt been a good place to stay ! (r.i.p)
 
Duh,
Rip Caroline, wandugu watanzania wenzangu mliopo marekani au nje ya marekani - Hay kwa wenzetu wamarekani si mageni,mtu awezamua mkewe hata miaka saba baadae ndo ikajulikana au mtoto wake miaka kadhaa ndo ikjulikana na hii yote ni kwasababu ya lifestyle ya wenzetu!!
Tujipe moyo kwamba hili limekua fundisho kwa vijana wengi waishio nje ya nchi yetu,na tuwaombee sana familia ya marehemu wapate farijiko la amani.
 
poleni sana wafiwa wote, hii inasikitisha sana. Dunia hii inatisha kwa mambo haya...kabla ya kusoma hii habari nilikuwa nasoma habari ya Joran Van Der Sloot na mauaji ya Peru na pengine Aruba...

Nimesikitishwa sana na habari hii, tragedy kama hii inaweza kutokea kwe yeyote yule

Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi
 
Habari
-
On behalf of the family of our sister Caroline Mmari, the Tanzanian Community in Southern California is sad to update everyone that police have found the body of Caroline Mmari buried in the backyard of the home that she lived prior her disappearance. Currently the body is still with the police and will be released to the family once the investigation is completed. The husband of the deceased is already in police custody.
-

Meanwhile, the family of the victim is in the initial stages arranging to transport the body of Caroline Mmari back to Tanzania. On behalf of the family of the victim, the Tanzanian Community in Southern California is asking for your moral and financial support during this difficult time.
-
For those who are in the United States please send your financial support to Lilian Mgonja who is an aunt and a family representative of the victiom's family in Southern California: see the details below...


Bank of America
Name: Lilian Mgonja
Routing Number: 122000661
Account Number: 0475560122
-
We will provide additional updates as more information becomes available to us. Among pending issues, the family of the victim is planning for a memorial service but the date and venue will be provided once the police releases the body to the victim's family. You can reach the victim's family in the United States at:

-
The Tanzanian Community in Southern California is extending prayers to the family of the victim and all those who are emotionally attached to the death of our beloved sister Caroline Mmari. -
May her soul rest in peace, Amen...

Tanzanian Community in Southern California
 
doh,R.I.P CAROLINE,lakini kuna swali najiuliza hapa,kwanini hawa dada zetu wanapotea ghafla na mara wakipatikana ni maiti tayari,tena mara nyingi inakuwa hivyo imekatwakatwa vipande na imetiwa ndani ya mfuko,inasikitisha sana kwakweli.

Short cut ya kuachana na mtu..lakini short cut ya kijinga sana.
Mtu kama humtaki kwanini msikubaliene kuachana kwa wema tu? Mara nyingi wanaume hawakubali kuachwa! Kubalini tu.
 
Back
Top Bottom