Msiba: Charles Masanja hatunaye

Tunabaki kusema pole. Mambo mengine ni maswali ya kawaida baada ya msiba.

Pole wafiwa, Mungu aliamua kumchukua mtu wake kwa njia hiyo. Hakuna awezaye kumuuliza Mungu sababu.

Leka
 
Kama umefuatilia hata vyombo vya habari vya leo, ni kwamba alikuwa anaingia ndani kupitia juu ya ukuta

ukuta huo inaelekea haukuwa imara ukamuangukia, sijui ni kwa nini hakupitia mlangoni mpaka apande ukuta ndo aingie ndani.


Huenda ni mazoea yake kuruka ukuta badala ya kupitia mlangoni, sasa ukuta umechoka, na inategemea alikuwa na kilo ngapi.

Na huenda wife alishachoka na vitendo vyake na kufungua mlango mme akirejea majogoo.

R.I.P Mtani wangu.
 
Back
Top Bottom