Mshindi wa miss chitchat huyu hapa

Bila kuwachosha,nawakumbusha tu waliokua wanachuana ni charminglady v/s Remmy Kura zilizopigwa kwa ufasaha ni 10,na matokeo ni kama ifuatavyo-

(a) charminglady amepata kura 4 kati ya 10 zilizopigwa
(b) Remmy amepata kura 6 Kati ya kura 10 zilizopigwa
Nachukua nafasi hii kumtangaza rasm Remmy kuwa ndiye mshindi wa Miss chitchat kwa mwezi septembekumbuka miss chitchat wa mwezi augost tunaye miss cacico.Ahsanteni kwa ushirikiano

Sina imani na jopo la majaji.
Where can I appeal?
 
Last edited by a moderator:
nafanya utafiti wangu wa kipembeni ila mpaka hapa inabidi nikubali kuwa naona kama kila kitu kilikuwa haki. naona nikibaki kumlaumu charminglady for failing to let us (her fans) know kwamba anashindana. all the same, i'll be back

kaa ukijua charminglady mwenyewe hakujipigia kura,wakili wake hakumpigia kura,anaawala yake C6 hakuonekana kupiga kura,watu walikuwa wanafanya campain za kufa mtu na matokeo ndio hayo.kusanya ushahid uje hapa,ama la uje ukili kama matokeo ni ya kwel na haki
 
Last edited by a moderator:
Sina imani na jopo la majaji.
Where can I appeal?

pole sana,kwanza shindano hili ni la aina yake lilikua halina jaji,isipokua mwendeshaji na msimamizi,kura yako ndio ilikua jaji,ya kwamba nani ashinde nani ashindwe,nakushanga from no where unadai huna imani na jaji,mimi nakuuliza jaji yup wa kes ip,ya arusha?ama segerea?
 
Shukrani sana muandaaji, Ruhazwe Jr kwa zoezi zima. Sasa niwakati wangu wa kutekeleza ahadi.

Kinachonifurahisha katika masuala ya uchaguzi ni kuwa mshindi huwa habagui katika kutimiza ahadi, hivyo natumai kabisa kuwa hutakiuka utaratibu huo.Na kwa kusema hivyo basi nachukua fursa hii nami kukuomba unitimizie ahadi hata kama sikukupigia kura.Na ahadi hiyo ni kama ile uliyomuahidi Nicas Mtei..
 
Last edited by a moderator:
jamani msishangae kesho kuona uzi eti Ruhazwe JR anamtongoza Remmy. bahati yenu ipad yangu imezingua ila ningeharibu matokeo....na afadhari mke wangu hakushinda maana mngeombaje namba za simu
 
Last edited by a moderator:
Kinachonifurahisha katika masuala ya uchaguzi ni kuwa mshindi huwa habagui katika kutimiza ahadi, hivyo natumai kabisa kuwa hutakiuka utaratibu huo.Na kwa kusema hivyo basi nachukua fursa hii nami kukuomba unitimizie ahadi hata kama sikukupigia kura.Na ahadi hiyo ni kama ile uliyomuahidi Nicas Mtei..

niliahidi kwa wasionipigia kura kuwapeleka mabwepande!
 
Last edited by a moderator:
Hongera Remmy kura yangu haijaharibika sasa timiza ahadi! Lol
 
Last edited by a moderator:
Usikate rufaa c.l. Wewe hukutoa ushirikiano kwa fans wako mimi nikiwa mmoja wao. Ni funzo kwako na kwa wengine in the near future to come. Emergine hukujipigia kura ww mwenyewe hasa raundi ya mwisho.
 
kaa ukijua charminglady mwenyewe hakujipigia kura,wakili wake hakumpigia kura,anaawala yake C6 hakuonekana kupiga kura,watu walikuwa wanafanya campain za kufa mtu na matokeo ndio hayo.kusanya ushahid uje hapa,ama la uje ukili kama matokeo ni ya kwel na haki

tafadhali rekebisha kauli yako ASAP ndipo tuendelee
 
Last edited by a moderator:
Usikate rufaa c.l. Wewe hukutoa ushirikiano kwa fans wako mimi nikiwa mmoja wao. Ni funzo kwako na kwa wengine in the near future to come. Emergine hukujipigia kura ww mwenyewe hasa raundi ya mwisho.

umena eeh,hata wakili wake anae mlipa mapesa kibao kwa mwezi hakupiga kura,hata mke wa wakili wake hakumpigia kura ulitegemea nin?
 
Hawa washindi wanapata zawadi gani jamani??
namkumbuka Tall
 
Last edited by a moderator:
Kinachonifurahisha katika masuala ya uchaguzi ni kuwa mshindi huwa habagui katika kutimiza ahadi, hivyo natumai kabisa kuwa hutakiuka utaratibu huo.Na kwa kusema hivyo basi nachukua fursa hii nami kukuomba unitimizie ahadi hata kama sikukupigia kura.Na ahadi hiyo ni kama ile uliyomuahidi Nicas Mtei..

hahahaha. Kitumbua chenyewe kimoja halafu na wewe unakitaka?
 
Last edited by a moderator:
Remmy hongera sana
zawadi yako hiyo

Elegant-Surprise-Gift-Hamper[1].jpg
 
Last edited by a moderator:
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom