Mshindi wa BSS 2009 ni Kelvin; halina ubishi!

Quote:

Pdiddy ka post on 11th october na alikuwa ana predict na sio kutujulisha mshindi,au did I get it wrong?

jamani nilikuwa na mhisia sikusema ndio mshindi nilipendezwa na nyimbo alizoima that day;;;;

BIG UP PC
 
Wote sio Waimbaji bali wanacopy nyimbo za watu.. samahani wakuu wangu maana mimi naona kuwa kama kweli tunataka watu kuwa waimbaji basi watunge nyimbo zao na sisi hivi tunavyofanya kucopy na kupaste

huyo Pascal uwezo wa kutunga na kuimba anao kabisa nyota njema huonekana asubuhi
 
Duh MJ mbona mawazo yenu ndo yako huko huko tu :)
__________________

USIOGOPE MAMA WATAKUJA NA PDIDY NAE KAMMAINDI..UTAWAWEZA??
 
Firstlady 1
mama maisha target ,maisha kusoma nyakati,,mtoto analipa,mtoto maisha kayapatia,,mtoto maisha ameyatega sio yamemtega...kwa raha zako mama
(25+1.5+0.5)million + kwa wasiojua(gari) ndogo amepewa na bibi yake madam ritta....kwa nini usimbakize dar..huyo kwanza unampeleka mariedo si unakumbuka alivyokuja zile pamba za mariedo utasema amenawishwa maji ya baraka sehemu....kazi kwako.....
 
Nimesoma sehemu kwamba jamaa anamtoto anaitwa RITA.
 
Kwa mtazamo wangu BSS naona imesimama Vizuri tuu ,wazidi ongeza jitihada na ubunifu , tupende vya kwetu na kuboresha sio kukosoa tuu !
 
Firstlady 1
mama maisha target ,maisha kusoma nyakati,,mtoto analipa,mtoto maisha kayapatia,,mtoto maisha ameyatega sio yamemtega...kwa raha zako mama
(25+1.5+0.5)million + kwa wasiojua(gari) ndogo amepewa na bibi yake madam ritta....kwa nini usimbakize dar..huyo kwanza unampeleka mariedo si unakumbuka alivyokuja zile pamba za mariedo utasema amenawishwa maji ya baraka sehemu....kazi kwako.....

watu mna uchokozi wa asili ..we pdidy leo naomboleza siongei maneno ya kuuzi hata kidogo
 
kumradhi bibie si unajua huku mkiuzunika wengine kama wakina nkapa na wengineo wanasherekea kuondoka kwa mzee....waendeleze na ulafi wao...
 
aaah jamaa alipata mtoto akiwa ndani ya Bss ndo maana akaamua kumpa jina la madame Rita;)

na wangu mwezi wa kumi na moja namwita """"second lady""hizi first kila mtu ana NGO SHIRKISHI...NAOGOPA
 
kwi kwi kwi na wewe utasema jina ulilitoa kwa sababau zipi??
 
Uwiiiii ruwa oko mndumi ngisaria .....sababu mama "HILO JICHO TU"""
Yalaaaaaaaaaaaaabi salama
 
eeeh pdidy

WE ACHA TU!!!ILE AHADI IKO PALEPALE MAMA "SECONDLADY" KAMA MUNGU AKITUPA MSICHANA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom