Mshindi wa BSS 2009 ni Kelvin; halina ubishi!

sasa kama mshindi kishajulikana tunakwenda ukumbini kufanya nini?

Aaahhh huyu PDidy naona anamuwangi adogo asishinde, si unajua majaji mwaka jana walilaumiwa... wanaweza kumvictimise huyu mshkaji simply kwasababu kama hizi
 
Kama mnajua mshindi tayari mnaenda kufanya nini huko?
Ataibuka mshindi ambaye hamkutegemea sisi tupo hapa mpaka usiku kuwasikilizia.
Alafu hawa washindi wa BSS mbona hawapo kopitendi na wasanii wengine hawa washindi ni mabingwa wa kuiga miziki ya wasanii walio tangulia na si wabunifu huwezi mchukua mshiriki yeyote kati ya hao alafu ukamshindanisha na msanii ambae kaibuka Tundaman kutunga na kuimba kwa hiyo BSS ni NGO's flani ya wajanja wachache wao wananenepa nyie mnagombana hapa ngoja mm niende Nyama Chabezi nikale vitu.
 
Msome nyakati. Huyo kijana ana sauti ya mawimbi ya kufoji. Kipaji kipo kwa kasian ambae ni mshindi

Kasian ndiye mshindi, na majaji wakileta aibu kama za mwaka jana Misoji basi hakuna haja ya kuwa na hiyo Bongo Star Search tena. Kasian pokea ushindi ukifuatiwa na Peter na Beatrice.

Kelvin Mbati anapaswa kuwa wa tano in the list!!!
 
Jamani JF siku hizi kuna sheria mpya? nauliza hivyo maana jana nimepost comment yangu hapa naona imeondolewa sijui sababu ni nini? na wale wote walio i-Quote comment yangu na zao zimeondolewa.Tafadhalini ni julisheni kama sheria zimebadilika humu ndani.
 
Jamani JF siku hizi kuna sheria mpya? nauliza hivyo maana jana nimepost comment yangu hapa naona imeondolewa sijui sababu ni nini? na wale wote walio i-Quote comment yangu na zao zimeondolewa.Tafadhalini ni julisheni kama sheria zimebadilika humu ndani.
kulitokea matatizo wakati wanafanya maintenance jana na wakulu wa kaya hii wametoa maelezo ya kutosha kuhusu hili.....wamesema thread za masaa 21 zimepotea na kuomba wenye thread waanzishe upya.
nenda jukwaa la siasa na soma thread yenye kichwa Kumradhi......
 
Mkuu,
Ahsante kwa maelezo yako, nilipatwa na wasi wasi kidogo nilidhani labda Wakulu wa hii kaya wamebadilisha sheria za humu ndani.
 
Msechu ni mshindi wangu coz jamaa anaweza.Balantanda na jua una mshabikia Ngosha mwenzio, usijali amekwisha shinda.Nipo kwenye harakati za kuwa elimisha wapiga kura wa jimbo langu ili kua kikisha tunapata viongozi bora wabbeja saana !
 
Naona huu ni msimu wa mavuno kwa watu wa Mwanza,sisi wengine huku ni msimu wa ukame hadi ng'ombe anauzwa tsh 5,000. Mkuu samahani kwa msg yangu ya mwanzo sikuiona vizuri maana natumia simu.Pa1 mkuu
 
Hakuna ubishi mkuu, ila hasije kuwa kama washindi walio mtangulia baada ya kupata ushindi hakuna walicho kifanya naona kimya tu.
 
Hakuna ubishi mkuu, ila hasije kuwa kama washindi walio mtangulia baada ya kupata ushindi hakuna walicho kifanya naona kimya tu.

JosM kwani mshindi ni nani???,mi sipo Tz mkuu but nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu na nimeambiwa leo ndo fainali..Nijuze tafadhali
 
niliwaambia that pascal ndio mshindi man!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!111
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom