Mshike mshike za kisiasa

mtuwatu

Member
Oct 21, 2009
95
2
Wanakwetu kuna mtu ameshakisoma kitabu cha kisiasi nilichoona kwenye tv kinazinduliwa wiki mbili zilizopita?
kama yupo kuna nini ndani yake jamaani, naomba kujua
 
Wanakwetu kuna mtu ameshakisoma kitabu cha kisiasi nilichoona kwenye tv kinazinduliwa wiki mbili zilizopita?
kama yupo kuna nini ndani yake jamaani, naomba kujua
Mkuu, mbali na neno la bluu hapo juu ambalo huenda ulimaanisha KISIASA, lakini hujaweka jina la kitabu hicho ili kurahisisha mambo!
Au ndo kinaitwa MSHIKEMSHIKE ZA KISIASA!
 
siku zote unapotafuta kitabu
hakikisha unajua jina la mwandishi kwanza......
 
Back
Top Bottom